Kwanini ufuge kwale na sio ndege au wanyama wenginie?

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
KWA NINI UFUGE KWARE NA SIO WANYAMA AU NDEGE WENGINE WADOGO
Wakati unafikiria kufuga wanyama wadogo wadogo kwa ajili ya nyama na pengine mayai fikiria faida na hasara zifuatazo:
Sili (Guinea pigs) hawa wanalishwa majani tu, hawana harufu na ni rahisi kufuga. Wanatoa nyama ya kuweza kutosha mlo wa familia. Kwa upande mwingine wanakua polepole kuliko kwale na pia hawatagi mayai.

Njiwa (Pigeons) Wanaweza kufugwa sehemu ndogo sana hata juu ya paa. Wanakula chakula kidogo sana , wanaweza kuokoteza wenyewe. Wanaangua mara kwa mara. Wanahitaji uangalizi mdogo. Kwa upande mwingine hawatagi mayai kiasi cha kutosha matumizi.
Kuku (Chickens) Ni wazuri na wanaweza kufugwa maeneo mengi. Lakini huhitaji nafasi kubwa kuliko kwale wanavyohitaji na pia hawatagi mpaka wawe na umri wa miezi kuanzia mitano na kuendelea.
Sungura (Rabbits). Hawa huzaliana haraka na kwa urahisi lakini huhitaji nafasi kubwa kuliko kwale na hawatagi.
Bata (Ducks) Baadhi yao huzaliana sana na ni rahisi kuwatunza lakini wanahitaji nafasi kubwa ya kutosha. Ni wachafu sana wakiwekwa eneo dogo.
Kwa muda mchache utatengeneza kipato kizuri kwa kuuza mayai. Lakini hii inategemea namba ya ndege wanaotaga kwa sababu kama ni wengi, mayai pia yataongezeka. Utakapo wauza wale wanaotaga kwa shilingi 25,000- 30,000 au wanaoanza kutaga sh 18,000- 20,000 Mwisho wa mwezi utautengeneza kipato kizuri.

Pamoja na hayo utafanya afya ya familia yako kuwa nzuri. Ukilinganisha kwale na ndege wengine, kwa mfano kuku utakuta kwamba kuku mmoja anatumia gramu 150 za chakula kwa siku. Ambacho kinaweza kulisha kwale saba.

kwa taarifa zaidi temblelea MAKURA INVESTMENT BLOG

https://www.facebook.com/makurainvestment

email: rumishanjau@gmail.com
simu: 0713-683422.
 
Attachments

  • IMG-20150331-WA0018.jpg
    IMG-20150331-WA0018.jpg
    89.5 KB · Views: 230
  • makura wood.png
    makura wood.png
    88.2 KB · Views: 234
  • package to deliver.jpg
    package to deliver.jpg
    227.1 KB · Views: 211
  • package 1.png
    package 1.png
    40.6 KB · Views: 211
  • package 2.jpg
    package 2.jpg
    27.4 KB · Views: 213
Hapo nakula kuku tu ila sina mpango wakufuga yeyote.
 
KWA NINI UFUGE KWARE NA SIO WANYAMA AU NDEGE WENGINE WADOGO
Wakati unafikiria kufuga wanyama wadogo wadogo kwa ajili ya nyama na pengine mayai fikiria faida na hasara zifuatazo:
Sili (Guinea pigs) hawa wanalishwa majani tu, hawana harufu na ni rahisi kufuga. Wanatoa nyama ya kuweza kutosha mlo wa familia. Kwa upande mwingine wanakua polepole kuliko kwale na pia hawatagi mayai.

Njiwa (Pigeons) Wanaweza kufugwa sehemu ndogo sana hata juu ya paa. Wanakula chakula kidogo sana , wanaweza kuokoteza wenyewe. Wanaangua mara kwa mara. Wanahitaji uangalizi mdogo. Kwa upande mwingine hawatagi mayai kiasi cha kutosha matumizi.
Kuku (Chickens) Ni wazuri na wanaweza kufugwa maeneo mengi. Lakini huhitaji nafasi kubwa kuliko kwale wanavyohitaji na pia hawatagi mpaka wawe na umri wa miezi kuanzia mitano na kuendelea.
Sungura (Rabbits). Hawa huzaliana haraka na kwa urahisi lakini huhitaji nafasi kubwa kuliko kwale na hawatagi.
Bata (Ducks) Baadhi yao huzaliana sana na ni rahisi kuwatunza lakini wanahitaji nafasi kubwa ya kutosha. Ni wachafu sana wakiwekwa eneo dogo.
Kwa muda mchache utatengeneza kipato kizuri kwa kuuza mayai. Lakini hii inategemea namba ya ndege wanaotaga kwa sababu kama ni wengi, mayai pia yataongezeka. Utakapo wauza wale wanaotaga kwa shilingi 25,000- 30,000 au wanaoanza kutaga sh 18,000- 20,000 Mwisho wa mwezi utautengeneza kipato kizuri.

Pamoja na hayo utafanya afya ya familia yako kuwa nzuri. Ukilinganisha kwale na ndege wengine, kwa mfano kuku utakuta kwamba kuku mmoja anatumia gramu 150 za chakula kwa siku. Ambacho kinaweza kulisha kwale saba.

kwa taarifa zaidi temblelea MAKURA INVESTMENT BLOG

https://www.facebook.com/makurainvestment

email: rumishanjau@gmail.com
simu: 0713-683422.
Hivi mkuu unaijua nyama ya sungura wewe? Unaijua nyama ya bata wewe? Hebu tuache utani bwana!! Kwale akitimua mbio wewe utamkamata? Huku si ni kutafutiana majanga tu!!
 
Nyama ya sungura nimekula na naijua. ya bata nimekula na naijua. JE WEWE WAIJUA NYAMA YA KWALE? kwale wafugwao sii kama kwale wa porini. faida zake kiafya ni nyingi mmno. mm
number one.png

number 2.png
 
Twende mbele turudi nyuma nyama ya kware ni shidaaa,sijaona yakufananishia labda kidogo ya sungura.
Nenda mbweni resort ukale kware choma utafurahi na roho yako.
 
sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom