Kwanini ugonjwa wa Ebola huwa hauvuki mpaka wa DRC kuingia nchini?

Kwanini ugonjwa wa Ebola huwa hauvuki mpaka wa DRC kuingia nchini?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, shalom!!

Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC?

NB: Nia ya kuuliza swali hili ni njema, inalenga kujua jinsi Gani Tanzania ilivyobarikiwa( KIIMANI NA KIULINZI) Ili tuzidi kuwa Wazalendo, tuithamini na kuipenda na kujilinda Nchi yetu.

Karibuni Kwa majibu 🙏

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo Tanganyika

Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿

Amen.
 
Salaam, shalom!!

Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC?

Karibuni Kwa majibu🙏
Hili jambo alinieleza kwa kina sana Dr Sadick wa Bugando.. aisee utashangaa
Nitaiwekea hapa
 
Ebu nenda kaufate uishi nao huko!

Uganda waliangaika sana na huu ugonjwa, DrC pia... na baadhi ya nchi... huu ugonjwa ni shida

Hujiulizi Kwann Dr anayetibu anavaa mavazi ya kininja?
Awaulieze Kagera nini kilitokea mpaka Kikwete akaenda kuomba poo kwa Wahusika.
 
Salaam, shalom!!

Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC?

Karibuni Kwa majibu🙏
ugonjwa upo kisiasa!!
 
... njia yake kuu ya ueneaji ni 'touch' ambayo inakuwa na nguvu zaidi sehemu zenye 'atmospheric moisture' kubwa inayofanya na Ngozi nayo kuwa chepechepe!
😅
 
Salaam, shalom!!

Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC?

Karibuni Kwa majibu🙏
kuna mengine serikali inafanya siri.sema tu unakuwa ufahamu yaliyomo.
kama mlivodanganywa na marehemu kuwa uviko-19 kaombea kwa mungu ukaondoka kipindi kile
 
Back
Top Bottom