Hili jambo alinieleza kwa kina sana Dr Sadick wa Bugando.. aisee utashangaaSalaam, shalom!!
Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC?
Karibuni Kwa majibu🙏
Awaulieze Kagera nini kilitokea mpaka Kikwete akaenda kuomba poo kwa Wahusika.Ebu nenda kaufate uishi nao huko!
Uganda waliangaika sana na huu ugonjwa, DrC pia... na baadhi ya nchi... huu ugonjwa ni shida
Hujiulizi Kwann Dr anayetibu anavaa mavazi ya kininja?
Hauvuki kwa sababu mgonjwa wa huo ugonnjwa huwa hana uwezo wa kutoka sehemu moja kwenda nyingineSalaam, shalom!!
Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC?
Karibuni Kwa majibu🙏
Timiza AHADI Yako 🙏Hili jambo alinieleza kwa kina sana Dr Sadick wa Bugando.. aisee utashangaa
Nitaiwekea hapa
Sintofahamu hiyo ilihusu nini?Kuna siku kagera kulikuwa na sintofahamu kilichofanyika na mamlaka aijui kilikuwa kitu gani
Naomba kujua, wewe unajua nini kuhusu Hilo?🙏Awaulieze Kagera nini kilitokea mpaka Kikwete akaenda kuomba poo kwa Wahusika.
Wapi ameomba,huoni kauliza swali?Ukisikia uchawi ndo huu sasa. Ina maana unaomba hiyo balaa itufikie na siye? Huo ugonjwa huwa haumpi nafasi ya mtu kusafiri nao mbali, huwa unamaliza biashara mapema!
Unajua maana ya ugonjwa wa kuambukiza?Hauvuki kwa sababu mgonjwa wa huo ugonnjwa huwa hana uwezo wa kutoka sehemu moja kwenda nyingine
ugonjwa upo kisiasa!!Salaam, shalom!!
Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC?
Karibuni Kwa majibu🙏
Fafanua🙏ugonjwa upo kisiasa!!
kuna mengine serikali inafanya siri.sema tu unakuwa ufahamu yaliyomo.Salaam, shalom!!
Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC?
Karibuni Kwa majibu🙏
Hizo zinakuaga ni propaganda za western kuingilia au kutafuta pretext ya kuingilia mambo fulani ya DRC!!….Fafanua🙏
Allahu akbarHizo zinakuaga ni propaganda za western kuingilia au kutafuta pretext ya kuingilia mambo fulani ya DRC!!….
Ni sawa ukisikia wanaingia kupambana na ugaidi ambao wao wenyewe ndo wanaufadhili