Nanukuu:No, umeelewa vibaya!!
Nataka nijue ulinzi nilionao Kwa faida ya vizazi vijavyo,
Maana wengine hudhani jambo hili ni Bahati mbaya,
Na wapo wengi wanaodhani Nchi hii ni mchezo mchezo,
Nia ni kuinua UZALENDO, watu waipende, wailinde na kuithamini Nchi Yao.
Nia ni njema ndugu!!
Nia ni njema,Nanukuu:
"Nia ni kuinua UZALENDO, watu waipende, wailinde na kuithamini Nchi Yao.
Nia ni njema ndugu!!"
Nia zingine bhana; a'a' zinaweza kuleta za kuleta.
Hili Taifa linalindwa na Mungu.Kawaonye kwanza wale wote wanaotaka mwenge uzimwe,una kazi kubwa sana ikiwemo kuwamulika maadui na kuwadhibiti
Tuletee mkuuHili jambo alinieleza kwa kina sana Dr Sadick wa Bugando.. aisee utashangaa
Nitaiwekea hapa
Ashukuriwe mama Samia kwa kuajiri surveillance officers wazuri kwenye mipaka yetu... Nenda kwenye border posts zote Kuna vifaa vya kisasa vya kung'amua magonjwa ukipita tu kwenye scanner kuna alarm inapiga kama una homa. Aidha mipaka isiyo rasmi ufuatiliaji unafanyika siku zote na masaa yoteNdio nataka kujua japo Kwa uchache jinsi tulivyo Imara Ili nimshukuru zaidi Mungu Kwa kuniweka katika pande hili la ardhi lililobarikiwa sana!!
Unazijua njia za panya wewe?Ashukuriwe mama Samia kwa kuajiri surveillance officers wazuri kwenye mipaka yetu... Nenda kwenye border posts zote Kuna vifaa vya kisasa vya kung'amua magonjwa ukipita tu kwenye scanner kuna alarm inapiga kama una homa. Aidha mipaka isiyo rasmi ufuatiliaji unafanyika siku zote na masaa yote
Soma msitari wa mwisho wa hoja yanguUnazijua njia za panya wewe?
Naelewa,Soma msitari wa mwisho wa hoja yangu
Alielezeaje mkuuHili jambo alinieleza kwa kina sana Dr Sadick wa Bugando.. aisee utashangaa
Nitaiwekea hapa