Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajerumani wameshatupa misaada sana, labda hiyo ndio fidia yenyewe.Tanzania inatakiwa kuishitaki Ujerumani na ilipe fidia kwa kadhia yote ile waliyoifanya nchini - mauaji ya raia kupitia vita vyake wakati wa kupora ardhi yetu.
Wajerumani ni wa binafsi, mara mia hata tungetawaliwa na mmarekani.
Hayo mambo hayahusiani na taifa. Kuna watu wako underground wanapanga yatokee.Watu wengi huwa wanawalaumu Wayahudi na kuwazushia conspiracies nyingi sana kwamba wamesababisha matatizo makubwa kwa dunia, mimi nafikiri hii ni tabia ya ukasuku wa watu kukariri tu mambo yanayosemwa bila kuyatafakari.
Kama kuna taifa ambalo limechangia madhila makubwa duniani ni Ujerumani (japo wametubia baadhi). Tafakari baadhi ya mambo waliyohusika nayo ambayo yalileta mabalaa makubwa kwa dunia yetu.
1. Walikuwa kichochezi kikubwa kuanza kwa vita vya kwanza vya dunia(WW I) kwa maslahi yao binafsi.
2. Walikuwa waanzilishi wa moja kwa moja wa vita vya pili vya dunia(WW II)
3. Walihusika na genocide kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani, wakiwaua mamilioni ya Wayahudi.
4. Walihusika kugawanywa rasmi kwa bara la Africa kuwa makoloni ya Ulaya kupitia mkutano wa Berlin 1884/85.
5. Kupitia raia wake wawili Karl Marx and Freidrich Engels ambao wanachukuliwa kama waanzilishi wa falsafa ya ujamaa kitaifa wamehusika kuibuka kwa watawala wenye idea ya ujamaa ambayo imeharibu sana nchi nyingi duniani mpaka leo hii.
Hiyo china na Urusi unzozizisema vibaya wewe na nchi yako mnaweza kufikia maendeleo Yao hata mkipewa miaka mia?Ujamaa umeariharibu China au Urusi.
hukunielewa tu soma katikati ya mstariHakuna nchi takatifu inayopigia chapuo kufirana na kusagana acha ujinga
Kipenzi changu Faiza..FaizaFoxy anawaita mayahudi!
Tatizo la Germany sasa hv amekuwa km babalevo uchawa tu kwa USA hana maamuzi binafsi inamuondolea heshima yy atakachoongea USA anafuata tuWatu wengi huwa wanawalaumu Wayahudi na kuwazushia conspiracies nyingi sana kwamba wamesababisha matatizo makubwa kwa dunia, mimi nafikiri hii ni tabia ya ukasuku wa watu kukariri tu mambo yanayosemwa bila kuyatafakari.
Kama kuna taifa ambalo limechangia madhila makubwa duniani ni Ujerumani (japo wametubia baadhi). Tafakari baadhi ya mambo waliyohusika nayo ambayo yalileta mabalaa makubwa kwa dunia yetu.
1. Walikuwa kichochezi kikubwa kuanza kwa vita vya kwanza vya dunia(WW I) kwa maslahi yao binafsi.
2. Walikuwa waanzilishi wa moja kwa moja wa vita vya pili vya dunia(WW II)
3. Walihusika na genocide kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani, wakiwaua mamilioni ya Wayahudi.
4. Walihusika kugawanywa rasmi kwa bara la Africa kuwa makoloni ya Ulaya kupitia mkutano wa Berlin 1884/85.
5. Kupitia raia wake wawili Karl Marx a Freidrich Engels ambao wanachukuliwa kama waanzilishi wa falsafa ya ujamaa kitaifa wamehusika kuibuka kwa watawala wenye idea ya ujamaa ambayo imeharibu sana nchi nyingi duniani mpaka leo hii.