Kwanini Ujerumani iko underrated (inachukuliwa poa) sana kwa matatizo iliyosababishia dunia?

Tanzania inatakiwa kuishitaki Ujerumani na ilipe fidia kwa kadhia yote ile waliyoifanya nchini - mauaji ya raia kupitia vita vyake wakati wa kupora ardhi yetu.
Wajerumani ni wa binafsi, mara mia hata tungetawaliwa na mmarekani.
 
Tanzania inatakiwa kuishitaki Ujerumani na ilipe fidia kwa kadhia yote ile waliyoifanya nchini - mauaji ya raia kupitia vita vyake wakati wa kupora ardhi yetu.
Wajerumani ni wa binafsi, mara mia hata tungetawaliwa na mmarekani.
Wajerumani wameshatupa misaada sana, labda hiyo ndio fidia yenyewe.
 
Hayo mambo hayahusiani na taifa. Kuna watu wako underground wanapanga yatokee.
 
Kwa Sasa Ujerumani ni kama colonial state ya US kijeshi coz hapo katika mkataba wa mwaka 1954 US na nchi nyingine 8 za NATO zilipewa acces ya kuwa na askari wao katika Ujerumani. Hili lilitokea koz vita ilishaisha na Sasa vita baridi ilikuwa kileleni ikitikisa. Hivyo basi ruhusa hiyo ilikuwa ni katika kuilinda Ujerumani dhidi ya Soviet Russia na pia kuendelea kucounterchek mienendo ya postwar German. Mpaka mwaka 2019 US na wenzake walikuwa na askari 400000 .
 
Kabla nilifikiri hivyo pia, ila baadae nikaja gundua 1 na 2, vita ya kwanza ni mipango iliyofanywa na Uingereza yenyewe.
Fatilia vizuri utapata majibu.
 
Tatizo la Germany sasa hv amekuwa km babalevo uchawa tu kwa USA hana maamuzi binafsi inamuondolea heshima yy atakachoongea USA anafuata tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…