Kwanini ukate umeme mchana kwanini usikeshe usiku mchana uturudishie umeme

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
Tanesco mjitafakari unaweza kata umeme toka saa12 asubuhi mpaka saa mbili usiku eti unarekebisha miundo mbinu hamnaga namna ya kufanya part by part yaani muda wote huo bila haibu, mchana ni muda wa kazi nzto kuliko usiku mnardisha umeme usiku ili iweje watu usiku wametulia vitandani wakatieni umeme wazinzi muavhe wachapakazi mchana bana
 
Vipi watu wa mining wanaofanya usiku na mchana
 
Tanesco mjitafakari unaweza kata umeme toka saa12 asubuhi mpaka saa mbili usiku eti unarekebisha miundo mbinu hamnaga namna ya kufanya part by part yaani muda wote huo bila haibu, mchana ni muda wa kazi nzto kuliko usiku mnardisha umeme usiku ili iweje watu usiku wametulia vitandani wakatieni umeme wazinzi muavhe wachapakazi mchana bana
Habari OgaBoy said, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu,

Tunaelewa kuwa katizo la huduma ya umeme la muda mrefu linaweza kuathiri shughuli za kiuchumi na maisha ya kila siku ya wateja wetu. Ratiba na utekelezaji wa kazi za matengenezo hupangwa kwa kuzingatia mahitaji ya kiufundi, usalama wa wafanyakazi na wananchi, pamoja na kuhakikisha kazi zinakamilika kwa ufanisi na ubora unaohitajika. Maoni yako ni muhimu kwetu na yatafikishwa kwa idara husika kwa ajili ya kuzingatiwa katika maboresho ya utoaji wa huduma. Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na tunakushukuru kwa uvumilivu na ushirikiano wako.^MY
 
Tanesco mjitafakari unaweza kata umeme toka saa12 asubuhi mpaka saa mbili usiku eti unarekebisha miundo mbinu hamnaga namna ya kufanya part by part yaani muda wote huo bila haibu, mchana ni muda wa kazi nzto kuliko usiku mnardisha umeme usiku ili iweje watu usiku wametulia vitandani wakatieni umeme wazinzi muavhe wachapakazi mchana bana
Kaka sasa ulitaka wasemaje ?? Waseme serikali imeshindwa
 
Back
Top Bottom