Kwanini ukianzisha mahusiano na mtu ambaye ni jirani mara nyingi huwa hayadumu?

Kwanini ukianzisha mahusiano na mtu ambaye ni jirani mara nyingi huwa hayadumu?

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,469
Nadhani wengi wetu jambo hili lishawahi tufika/tumewahi lishuhudia kwa watu wetu wa karibu. Je, ushawahi jiuliza ni ipi sababu ya mahusiano haya kutodumu?

Karibu hapa tujadili
 
Haiwezi kudumu sababu unatashuhudia
mengi ambayo kifua chako hakitoweza kuhimili kabisa.

Ukimchunguza Bata,huwez kumla
 
nadhani wengi wetu jambo hili lishawahi tufika/tumewahi lishuhudia kwa watu wetu wa karibu..
je ushawahi jiuliza ni ipi sababu ya mahusiano haya kutodumu??

karibu hapa tujadili

kaka huyo mwenzio mpaka leo bado unamsuka tu!!!!
 
nadhani wengi wetu jambo hili lishawahi tufika/tumewahi lishuhudia kwa watu wetu wa karibu..
je ushawahi jiuliza ni ipi sababu ya mahusiano haya kutodumu??

karibu hapa tujadili
mtaani wajuaji ni wengi mno..wataanza kukuletea historia yake ..mara amemegwa na yule ..oooh mara ametoa mimba..ooohh mara kwao wachawi sanaaa...mara oohhh kwao wana mambo ya kiswahili sana...etc
 
Mtaani wanga wengi ukichanganya na wivu pia, lazima watawaharibia tu.
 
Nadhani wengi wetu jambo hili lishawahi tufika/tumewahi lishuhudia kwa watu wetu wa karibu. Je, ushawahi jiuliza ni ipi sababu ya mahusiano haya kutodumu?

Karibu hapa tujadili
Kaka zangu wawili wake zao wote ni watu tuliyoishi nao majirani mtaa mmoja, hizo ni nadharia tu.
 
Back
Top Bottom