kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Kwanini hivi huwa hata ujenge ghorofa mjengo wa milioni 200 wa kuishi Chamazi, mmbande, mbagala hadi Vikindu bado tu itaonekana ni kama umechezea hela? Au umejenga sehemu isiyo faa au lazima itaonekana ina kasoro?
Maana utaskia mtu anasema "daaah mjengo mkali ila upo mbagala' "Mjengo mkali kasoro upo vikindu". "Nyumba nzuri hivi ukaamua kujenga huku?"
Hata ujenge namna gani kuna walakini tu utakuwepo machoni au ni mindset za watu?
Huko najenga nyumba yangu ya tatu ila ya kupangishia tu sijui kwanini mimi mwenyewe nilishindwa kuweka makazi huko nikabanana huku Goba na Kimara
Kuna kamindset na mimi nakaonaga. Mtu yupo radhi aende bunju huko au kibaha huko ila sio hapo Chamazi.
Yaani hata ujenge vipi huko kuna ulow class flan hivi utaonekana tu! Sijui ni kwanini na itakwisha vipi!