Kwanini ukimtongoza Mwanamke ndani ya Ndege anakukubalia kiurahisi mno kuliko ukimtongoza katika basi?

Usimikumbushe.

Wiki kadhaa nyuma nikiwa natoka Mbeya (Songwe Airport) kuja Dar kwa ile Bombardier ya saa 10 kasorobo. Nilikaa seat namba 11A. Nikiwa nimeshajiweka sawa, ikaingia pisi moja iliyoshiba ikawa inatafuta seat namba 11B. Ikakaribia na kukaa pembeni yangu, akatoa salamu fupi.

Tukiwa angani, stori mbili tatu akatoa na namba.

Kwa sasa ndio ameshakuwa mpenzi wangu.
 

Je, huoni kwamba kwa kusema tu Wiki kadhaa, kutaja Muda na hadi Siti Namba Watu wakitaka Kukujua utakuwa Umeshawarahisishia Kazi Mkuu?
 
Thamani ya wapandao kule huwa juu na haina msaada wa nauli kwa asilimia kubwa.

Kwenye basi yawezekana umechangiwa na rafiki zako ili ukawahi msiba wa baba yako au mtu wako wa karibu ili uwahi mazishi nk.
 
Je, huoni kwamba kwa kusema tu Wiki kadhaa, kutaja Muda na hadi Siti Namba Watu wakitaka Kukujua utakuwa Umeshawarahisishia Kazi Mkuu?
Kwenye muda wa ndege na wiki kadhaa ndio kwenye "codes".

What if the route was not from Songwe to Dar but rather from Kilimanjaro to Mwanza?!

- Wiki kadhaa nyuma ni lini?!


Mabahari huwa wana tabia ya kuweka vitu halisi lakini hiyo ni "smoke screen"
Ukipita shule za intelligence utaelewa.

People are prone to details as the truth. Give them the details, let them believe the details,your job is to send the message.

Ndio maana wezi wenye akili huwa wana mislead vyombo vya uchunguzi kwa ku-create scenario inayowafanya polisi kuchunguza upande mwingine huku tukio limefanywa kwa namna nyingine.

Soma hivi vitabu.

1. 48 Laws of Power - Robert Greene

2. Laws of Human Nature - Robert Greene
 
Home of Great Thinkers but most members don't think at all.

Umenifurahisha kwa kuweka hivyo vitabu.

Moja kati ya jambo kubwa ni kuwa unaweza kuwafanya watu waamini kile unachotaka waamini kwa kuweka tu taarifa fulani.

Ila hii ya smoke screen wanasiasa wanaitumia sana kufikia malengo yao.
 
Je, huoni kwamba kwa kusema tu Wiki kadhaa, kutaja Muda na hadi Siti Namba Watu wakitaka Kukujua utakuwa Umeshawarahisishia Kazi Mkuu?
Yaani wamtafute kwa kutongoza mwanamke kwenye ndege? Kosa ni lipi hapo?
Watu wanatongozana hata kwenye majengo ya taasisi nyeti za serikali.

Kosa kama angesema amemtogoza na kufanya mapenzi na mtoto mdogo.

Kwani kuna kanuni inayoeleza watu watongozane wapi?
 

Mkuu Wewe ni Mhaya? Manake naona hapa una ' Majigambo ' mengi sana ambayo ni ' Irrelevant ' na ' Content ' hadi ' Context ' nzima ya huu Uzi.
 
Akili kubwa!
 
Je, huoni kwamba kwa kusema tu Wiki kadhaa, kutaja Muda na hadi Siti Namba Watu wakitaka Kukujua utakuwa Umeshawarahisishia Kazi Mkuu?
Kuna watu privacy yao sio private issue, labda tatizo ni kwa huyo 'mwenzie'.
 

Hujanielewa nilichokimaanisha hapo na bahati nzuri Mlengwa kanielewa na kanijibu vyema tu, hivyo nikuombe tu endelea kubakia na Ujuha wako.
 
Precision Air Flight PW 470 JNIA saa 12.00 asubuhi ilinipa Mtoto mkali sana. [emoji23][emoji23]
 
Kila nilipopanda ndege zile wanauza duty free products, nilikuwa nateremka na kifurushi niichonunuliwa na stranger as a crush love.

Mnapitishiwa gazeti unaangalia bidhaa weeh kisha kabla ya mwisho wa safari cabin crews wanapita kuuliza kama kuna product umeipenda na unataka kununua.

Thanks to EK flights, let corona go to hell so I can fly my miles...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…