Nyie acheni kuongopeana. Hii dhana potofu ndo inatufanya tubweteke na tushindwe kuchukua hatua makini ya kujikinga. Nchi zote za ulaya zina maambukizi ya Ukimwi kati ya asilimia 0.6 hadi 3, sasa hawa wamepataje hivyo virusi kama hawapo prone? Juzi tu, shemeji yake wa Rais wa Ufaransa amefariki kwa UKIMWI sasa mnasemaje kwamba wao hawapo prone? Acheni kudanganyana nyie! Sisi ni kwamba tumekumbuka shuka wakati tayari ni asubuhi. Toka hiyo miaka ya 80 ukimwi ulipoingia Africa, tulikuwa waaminifu? Na je tulikuwa tunatumia kondom?
Hadi maambukizi yalipofikia asilimia 5-15 ndipo hizo kondom zilianza kupewa msisitizo. Na bado wengi wetu hatutumii. Msitake kujifariji, kila mtu ni prone to HIV. Lakini kumbukeni kwamba kwa kila tendo la ndoa unalofanya uwezekano wa maambukizi ni 2%. Sasa kama ukichukua precaution za kutosha, especially kumuandaa mwanamke vya kutosha, si rahisi kupata virusi hata kama anao.Vinginevyo tuseme waafrika hatujui ngono, hatuandaani vya kutosha, hivyo kujikuta tunakuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kupata michubuko.
Sisi bwana siyo waaminifu, kwa wakati mmoja una mademu sita, mmoja wao akiwa nao, unawaambukiza wote sita. Wenzetu wanakuwa naye mmoja at a time. kama anao ni hao wawili ndo wanakuwa nao. Tubadilike, tuache kutafuta visingizio visivyo na msingi.