Kwanini ukimwi uko kiwango cha juu Africa?

Kwanini ukimwi uko kiwango cha juu Africa?

Lakini pia usitumie kisingizio hiki kutuletea fringe fanatics.

Fringe fanatics ni suala la kimtazamo tu. Hamna haja ya kuwa label watu majina. Hiyo ni cop-out tactic. Kama hoja zako zina miguu basi zitasimama zenyewe bila msaada wa name calling.
 
Labda ni kutokana na waumini wengi wa dini zetu kubwa mbili katika nchi nyingi za Afrika, Uislamu na Ukristo, kufuata kauli za Mapadri na Masheikh ambao wamesimama kidete katika kupinga matumizi ya condom ili kujikinga na ukimwi.
 
Sidhani kama hii ni sababu ya msingi sana. Ni lazima pia tukubali kwamba we care so less. Wenzetu weupe wapo very systematic na matumizi ya kondomu, halafu ni waaminifu sana kwenye mahusiano yao. Ni nadra sana mtu kumsaliti girlfriend au boyfriend wake. Sisi hatuna kabisa utamaduni wa kuwa waaaminifu. Na hilo halina kipingamizi. unaweza kukuta mtu anafunga ndoa kesho lakini leo yupo na jamaa au binti wa nyumba ya jirani. Yaani shida tupu. Halafu tunafanya hayo bila kondomu. Hii kitu itatumaliza, tutake tusitake.

Ni lazima kwanza tubadilike na tukubali ama kuwa waaminifu au kutumia kondomu kwa uaminifu. Huwezi amini kwamba mwanaume anakwenda na kondom kwa binti anaitoboa kwa makusudi eti kumkomoa binti, kwa kuwa kakomaa kwamba watumie kondom. Huwezijua anayesema mtumie kondom anaweza kuwa ana nia ya kukulinda wewe mwenyewe lakini wewe unadhani unamkomoa. Ni lazima tubadilike waafrika.

Si kweli. Ni wabaya, tena kuliko sisi. Uaminifu wao huwa ni kule kule Ulaya. Kwani kila mtu analinda heshima na maisha yake. Kule ulaya sehemu nyingi, status yako inaweza haribiwa na misbehaving (misbehaviour). Sasa hawa hawa wazungu nenda ukawakute wako likizo Thailand, Mombasa au Brazil. Utashangaa. Wake kwa waume, wanafanya fujo sana ambayo wewe mtanzania au Mwafica ni aibu!. Hapa Bongo pana nafuu, lakini umeshwahi sikia habari ya Mombasa au Malindi kule Kenya?! Hapo jirani tu ni hatari. Tafuta sababu ya kwanini HIV is more prevalent in Africa than other countries. Na si issue ya uaminifu!
 
Mi nafikiri ukimwi unakuwa kwa kiwango kikubwa Africa ni kwasababu ya kuwa na elimu duni ya ukimwi. Wengi wao huamini ukimwi unasababishwa na majimaji ya uzazi yaani Shahawa, watu wa aina hii unakuta wanafanya ngono bila kinga kwa mantiki ya kwamba ilimradi mwanaume atakapokuwa anafika kileleni asifikie ndani ya mwanamke..Asilimia kubwa ya watu wetu wanaamini hivyo. Pia inawezekana vyombo vyetu vinavyopambana na ukimwi vinafikisha ujumbe wa ukimwi wrong..kwa mfano unakuta tangazo la Tv linasema "UKIMWI UNAUA TUMIA KONDOMU" Sidhani ujumbe kama huo utapokewa na mlengwa ipasavyo na badala yake wangekuwa wanaelimisha ukimwi ni nini na sio unaua kwakua sidhani kama kuna mtu hajui kama ukimwi unaua..hii inasikitisha sana.

Pia Si kweli kwamba nchi zilizoendelea hazina wagonjwa wengi wa ugonjwa huu, watu wa huko wanapata elimu ya kiundani zaidi kuhusu ugunjwa huu na imefikia wakati kwamba hawauogopi kabisa wanaona ni kitu cha kawaida kwakuwa hawaamini kwamba virusi vya HIV vinaua..Nnaweza nikawasuppot kwahilo, kivipi? Nchi za wenzetu zilizoendelea wameugawa ugonjwa huu katika makudi mawili yani HIV na AIDS. HIV ni virusi ambavyo vinakupata na baada ya muda vinakuwa AIDS. kwahiyo wao wanachokipigania na kukiogopa zaidi ni AIDS. Mfano ulio hai watu weupe unakuta wanaenda Sex holidays nchi mbalimbali za Asia na hata Africa na wanafanya ngono zisizo salama wakiwa huko na wengi wao wanaokutana nao huko ni Malaya, Watu hawa pindi watakapotia mguu kwao kitu cha kwanza ni kwenda kujicheck afya zao na kuangalia kama wako salama au la. Na kama hawako salama basi wanaamini sio doa kubwa sana katika maisha yao kwakuwa wataweza kuvidhibiti virusi hiyo kirahisi kabla havijawa AIDS, na ndiyo maana unakuta wanaishi maisha yao yote kama walivyostahili kuishi ingawa wameathirika. lakini tatizo letu kubwa ni woga wa kujua Afya zetu mara kwa mara au mapema na matokeo yake unakuja kujigundua too late wakati umeshapata Aids ambapo inakua ngumu kuvidhibiti na mwisho wake ni kifo.

Statistics za ulimwengu inaangalia sana AIDS na si HIV ndiyo maana tunakuta Afrika tunaongoza kwa suala hilo kwakuwa na elimu Duni na kujikuta waathirika wengi ni waathirika wa AIDS.

#Ningezishauri Serikali na vyombo vya kupambana na Majanga ya ukimwi barani kwetu watilie mkazo zaidi kuelimisha ukimwi ni nini kuliko kupoteza hela kwa kuelimisha kitu ambacho kila mtu anakijua kwa kutumia maneno ya vitisho katika kupambana na janga hili kwa mfano UKIMWI UNAUA,UKIMWI NI KIFO nk...

NGONO SALAMA, KWA MAISHA BORA ZAIDI......

Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Africa.

Yah wewe sasa unaongea.Tuanzie hapo..Elimu yetu ni duni na siyo bla bla eti wazungu wako genetically protected.
 
Si kweli. Ni wabaya, tena kuliko sisi. Uaminifu wao huwa ni kule kule Ulaya. Kwani kila mtu analinda heshima na maisha yake. Kule ulaya sehemu nyingi, status yako inaweza haribiwa na misbehaving (misbehaviour). Sasa hawa hawa wazungu nenda ukawakute wako likizo Thailand, Mombasa au Brazil. Utashangaa. Wake kwa waume, wanafanya fujo sana ambayo wewe mtanzania au Mwafica ni aibu!. Hapa Bongo pana nafuu, lakini umeshwahi sikia habari ya Mombasa au Malindi kule Kenya?! Hapo jirani tu ni hatari. Tafuta sababu ya kwanini HIV is more prevalent in Africa than other countries. Na si issue ya uaminifu!

Hata katika nchi zao wanafanya uasherati wa hali ya juu tu. Na hali hii imeongezeka sana kutokana na hii kitu wenyewe wanaita "kuswing" baadhi wanajikinga ili kutopata magonjwa lakini wako wengi wanafanya ngono zembe tena na mtu ambaye wamekutana naye kwa siku ya kwanza tu baada ya kuweka tangazo online.
 
Ndiyo nini hiyo BAK?
 
aaaaaaah sisi bwana tumeendekeza sana ngono zembe ...sehemu zingine wanaume hawaoni issue kuchangia mwanamke mradi tu wakisifiana anajua majamboz kila mtu atataka akahakikishe ? fata nyuki ule asali 😉
Kwani tukiamua kuacha ngono zembe ukimwi utaendelea kusambaa kwa kasi ya ajabu kama ilivyo sasa ??
 
Ngono zembe uchangiwa zaidi na umaskini
 
Ngono zembe uchangiwa zaidi na umaskini
Hapa Mkuu toa ufafanuzi.....yaani umaskini kwamba hawawezi kunua condoms za mia mia au umaskini kuwa hawana maamuzi au Umaskini kivip? maana wanakufa kwa ngoma sio maskini tu!!
 
Hapa Mkuu toa ufafanuzi.....yaani umaskini kwamba hawawezi kunua condoms za mia mia au umaskini kuwa hawana maamuzi au Umaskini kivip? maana wanakufa kwa ngoma sio maskini tu!!

natoa mfano mmoja kwani wananwake wengi na wasichana wanakosa maamuzi ya njia salama ya kujamiana kwa kuwa wanakuwa wamenunuliwa kwa pesa ,na kwakuwa ni maskini na wana shida inabidi waendee na maamuzi ya mwanamume matokeo yake wanajikuta kwenye ngono zembe na isiyo salama.
 
Mzee ulichosema ni kweli kabisa. Jamaa nadhani hana data na analeta zile story za vijiweni bongo vya kusema wazungu wako care.. Watu wanawakamua sana huku kavu kavu mpaka group sex watu wanafanya tena bila ndom . Wakienda kupima ngoma hola yani wako poa. Sasa kwa TZ ukifanya group sex au mtungo tena bila ndom utatoka?

Nadhani ile link uliyeituma itakuwa na ukweli fulani. Maana nimekaa vinchi mbalimbali vya ulaya na ukimwi auvisumbui kabisa yani ukitoka na mzungu ni full kujiachia huna wasiwasi na gonjwa.

Kuna uwezekana mkubwa hivi virusi vitengenezwa maabara na hawa wazungu. Wazungu ni washenzi sana na wana underground projects za ajabu ambazo ni vigumu kuzielewa kama si mfuatiliaji wa mambo..

Nyie acheni kuongopeana. Hii dhana potofu ndo inatufanya tubweteke na tushindwe kuchukua hatua makini ya kujikinga. Nchi zote za ulaya zina maambukizi ya Ukimwi kati ya asilimia 0.6 hadi 3, sasa hawa wamepataje hivyo virusi kama hawapo prone? Juzi tu, shemeji yake wa Rais wa Ufaransa amefariki kwa UKIMWI sasa mnasemaje kwamba wao hawapo prone? Acheni kudanganyana nyie! Sisi ni kwamba tumekumbuka shuka wakati tayari ni asubuhi. Toka hiyo miaka ya 80 ukimwi ulipoingia Africa, tulikuwa waaminifu? Na je tulikuwa tunatumia kondom?

Hadi maambukizi yalipofikia asilimia 5-15 ndipo hizo kondom zilianza kupewa msisitizo. Na bado wengi wetu hatutumii. Msitake kujifariji, kila mtu ni prone to HIV. Lakini kumbukeni kwamba kwa kila tendo la ndoa unalofanya uwezekano wa maambukizi ni 2%. Sasa kama ukichukua precaution za kutosha, especially kumuandaa mwanamke vya kutosha, si rahisi kupata virusi hata kama anao.Vinginevyo tuseme waafrika hatujui ngono, hatuandaani vya kutosha, hivyo kujikuta tunakuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kupata michubuko.

Sisi bwana siyo waaminifu, kwa wakati mmoja una mademu sita, mmoja wao akiwa nao, unawaambukiza wote sita. Wenzetu wanakuwa naye mmoja at a time. kama anao ni hao wawili ndo wanakuwa nao. Tubadilike, tuache kutafuta visingizio visivyo na msingi.
 
Sio kwamba tunaongopeana mzee! Wazungu wanakamua sana kuliko wewe unavyofikiria. Kama unabisha ingia plentyoffish na tag uone kama ujakamatia zaidi ya watano kwa kwa siku inategemeana na speed yako. Hawako makini ktk masuala ya ndom na hawazipendi. Watu wanakamua kila siku ya k za bure kuliko huko bongo gharama ni mafuta ya gari tu. Issue za kwamba wanakuwa na demu mmoja hizi ni hadithi tu kaka mambo hayako kama unavyofikiri kabisa jamaa ni wazinzi sana tu... One night za kumwaaaga .

Kuhusu issue za ukimwi huku ni Wasauzi, wazimbabwe na wafrica ndio wanauleta. Midemu ya kizungu ambayo inajichanga na watu weusi si ya kuamini sana . Lakini ukikuta demu hana mambo ya kuchichanganya na blacks ni full kujiachia kaka.
 
aaaaaaah sisi bwana tumeendekeza sana ngono zembe ...sehemu zingine wanaume hawaoni issue kuchangia mwanamke mradi tu wakisifiana anajua majamboz kila mtu atataka akahakikishe ? fata nyuki ule asali 😉
Kwani tukiamua kuacha ngono zembe ukimwi utaendelea kusambaa kwa kasi ya ajabu kama ilivyo sasa ??

Tena ulaya ngono nzembe ndio za kumwagaa.....Unaingia na demu wa kizungu chumbani anakumbia " hun i dont like condom it hurt me". Full kujiachia.... Friday night na saturday night ndio siku zenyewe za kukamatia...Single moms za kumwagaa miaka 18-30 speed yako tu na hazina gharama..

Wazungu wanapenda sana pombe wakishalewa tu ata kama ni mke wa mtu unaburuza tu haina shida. Nxt day mcall anakuambi "i dunno u , why u calling me u prick. Am married ". Wakati jana umekamua na hizo watu wanaita one night. Kwa kifupi k nje nje na tena sio safe lakini sielewi kwanini ngoma ipo kwa kiwango kidogo.
 
Dah mkuu unaweza sababisha foleni kwenye counter za Visa ivi ivi ohoo!!
 
aaaaaaah sisi bwana tumeendekeza sana ngono zembe ...sehemu zingine wanaume hawaoni issue kuchangia mwanamke mradi tu wakisifiana anajua majamboz kila mtu atataka akahakikishe ? fata nyuki ule asali 😉
Kwani tukiamua kuacha ngono zembe ukimwi utaendelea kusambaa kwa kasi ya ajabu kama ilivyo sasa ??

1st lady ndiyo dunia ilivyo na hii inafanywa na wote wanawake kwa wanaume. Pia kuna baadhi ya wanawake njemba ikitaka kuvaa kinga basi huona amedharauliwa kwa kuwa jamaa anamuogopa na kuvaa kinga na hivyo kuona kama kafananishwa na CDs na wengine huweza hata kutamka "kama unaniona mimi malaya basi usinifuate fuate tena" kumbe maskini ya Mungu hajui hata yeye mwenyewe anaweza kuepushwa na maambukizo ya miwayawaya. Na wanaume nao mtoto yule bomba sana sivai kinga kabisa...utamunguunya vipi pipi na ganda lake!? ili kujua utamu wake ni upi?. Mradi shida tupu na maambukizo yanaendelea kushamiri kila kukicha.
 
Back
Top Bottom