Kwanini ukimwi uko kiwango cha juu Africa?

Lakini pia usitumie kisingizio hiki kutuletea fringe fanatics.

Fringe fanatics ni suala la kimtazamo tu. Hamna haja ya kuwa label watu majina. Hiyo ni cop-out tactic. Kama hoja zako zina miguu basi zitasimama zenyewe bila msaada wa name calling.
 
Labda ni kutokana na waumini wengi wa dini zetu kubwa mbili katika nchi nyingi za Afrika, Uislamu na Ukristo, kufuata kauli za Mapadri na Masheikh ambao wamesimama kidete katika kupinga matumizi ya condom ili kujikinga na ukimwi.
 

Si kweli. Ni wabaya, tena kuliko sisi. Uaminifu wao huwa ni kule kule Ulaya. Kwani kila mtu analinda heshima na maisha yake. Kule ulaya sehemu nyingi, status yako inaweza haribiwa na misbehaving (misbehaviour). Sasa hawa hawa wazungu nenda ukawakute wako likizo Thailand, Mombasa au Brazil. Utashangaa. Wake kwa waume, wanafanya fujo sana ambayo wewe mtanzania au Mwafica ni aibu!. Hapa Bongo pana nafuu, lakini umeshwahi sikia habari ya Mombasa au Malindi kule Kenya?! Hapo jirani tu ni hatari. Tafuta sababu ya kwanini HIV is more prevalent in Africa than other countries. Na si issue ya uaminifu!
 


Yah wewe sasa unaongea.Tuanzie hapo..Elimu yetu ni duni na siyo bla bla eti wazungu wako genetically protected.
 

Hata katika nchi zao wanafanya uasherati wa hali ya juu tu. Na hali hii imeongezeka sana kutokana na hii kitu wenyewe wanaita "kuswing" baadhi wanajikinga ili kutopata magonjwa lakini wako wengi wanafanya ngono zembe tena na mtu ambaye wamekutana naye kwa siku ya kwanza tu baada ya kuweka tangazo online.
 


Ndiyo nini hiyo BAK?
 
aaaaaaah sisi bwana tumeendekeza sana ngono zembe ...sehemu zingine wanaume hawaoni issue kuchangia mwanamke mradi tu wakisifiana anajua majamboz kila mtu atataka akahakikishe ? fata nyuki ule asali πŸ˜‰
Kwani tukiamua kuacha ngono zembe ukimwi utaendelea kusambaa kwa kasi ya ajabu kama ilivyo sasa ??
 


Ngono zembe uchangiwa zaidi na umaskini
 
Ngono zembe uchangiwa zaidi na umaskini
Hapa Mkuu toa ufafanuzi.....yaani umaskini kwamba hawawezi kunua condoms za mia mia au umaskini kuwa hawana maamuzi au Umaskini kivip? maana wanakufa kwa ngoma sio maskini tu!!
 
Hapa Mkuu toa ufafanuzi.....yaani umaskini kwamba hawawezi kunua condoms za mia mia au umaskini kuwa hawana maamuzi au Umaskini kivip? maana wanakufa kwa ngoma sio maskini tu!!

natoa mfano mmoja kwani wananwake wengi na wasichana wanakosa maamuzi ya njia salama ya kujamiana kwa kuwa wanakuwa wamenunuliwa kwa pesa ,na kwakuwa ni maskini na wana shida inabidi waendee na maamuzi ya mwanamume matokeo yake wanajikuta kwenye ngono zembe na isiyo salama.
 

Nyie acheni kuongopeana. Hii dhana potofu ndo inatufanya tubweteke na tushindwe kuchukua hatua makini ya kujikinga. Nchi zote za ulaya zina maambukizi ya Ukimwi kati ya asilimia 0.6 hadi 3, sasa hawa wamepataje hivyo virusi kama hawapo prone? Juzi tu, shemeji yake wa Rais wa Ufaransa amefariki kwa UKIMWI sasa mnasemaje kwamba wao hawapo prone? Acheni kudanganyana nyie! Sisi ni kwamba tumekumbuka shuka wakati tayari ni asubuhi. Toka hiyo miaka ya 80 ukimwi ulipoingia Africa, tulikuwa waaminifu? Na je tulikuwa tunatumia kondom?

Hadi maambukizi yalipofikia asilimia 5-15 ndipo hizo kondom zilianza kupewa msisitizo. Na bado wengi wetu hatutumii. Msitake kujifariji, kila mtu ni prone to HIV. Lakini kumbukeni kwamba kwa kila tendo la ndoa unalofanya uwezekano wa maambukizi ni 2%. Sasa kama ukichukua precaution za kutosha, especially kumuandaa mwanamke vya kutosha, si rahisi kupata virusi hata kama anao.Vinginevyo tuseme waafrika hatujui ngono, hatuandaani vya kutosha, hivyo kujikuta tunakuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kupata michubuko.

Sisi bwana siyo waaminifu, kwa wakati mmoja una mademu sita, mmoja wao akiwa nao, unawaambukiza wote sita. Wenzetu wanakuwa naye mmoja at a time. kama anao ni hao wawili ndo wanakuwa nao. Tubadilike, tuache kutafuta visingizio visivyo na msingi.
 

Sio kwamba tunaongopeana mzee! Wazungu wanakamua sana kuliko wewe unavyofikiria. Kama unabisha ingia plentyoffish na tag uone kama ujakamatia zaidi ya watano kwa kwa siku inategemeana na speed yako. Hawako makini ktk masuala ya ndom na hawazipendi. Watu wanakamua kila siku ya k za bure kuliko huko bongo gharama ni mafuta ya gari tu. Issue za kwamba wanakuwa na demu mmoja hizi ni hadithi tu kaka mambo hayako kama unavyofikiri kabisa jamaa ni wazinzi sana tu... One night za kumwaaaga .

Kuhusu issue za ukimwi huku ni Wasauzi, wazimbabwe na wafrica ndio wanauleta. Midemu ya kizungu ambayo inajichanga na watu weusi si ya kuamini sana . Lakini ukikuta demu hana mambo ya kuchichanganya na blacks ni full kujiachia kaka.
 

Tena ulaya ngono nzembe ndio za kumwagaa.....Unaingia na demu wa kizungu chumbani anakumbia " hun i dont like condom it hurt me". Full kujiachia.... Friday night na saturday night ndio siku zenyewe za kukamatia...Single moms za kumwagaa miaka 18-30 speed yako tu na hazina gharama..

Wazungu wanapenda sana pombe wakishalewa tu ata kama ni mke wa mtu unaburuza tu haina shida. Nxt day mcall anakuambi "i dunno u , why u calling me u prick. Am married ". Wakati jana umekamua na hizo watu wanaita one night. Kwa kifupi k nje nje na tena sio safe lakini sielewi kwanini ngoma ipo kwa kiwango kidogo.
 
Dah mkuu unaweza sababisha foleni kwenye counter za Visa ivi ivi ohoo!!
 

1st lady ndiyo dunia ilivyo na hii inafanywa na wote wanawake kwa wanaume. Pia kuna baadhi ya wanawake njemba ikitaka kuvaa kinga basi huona amedharauliwa kwa kuwa jamaa anamuogopa na kuvaa kinga na hivyo kuona kama kafananishwa na CDs na wengine huweza hata kutamka "kama unaniona mimi malaya basi usinifuate fuate tena" kumbe maskini ya Mungu hajui hata yeye mwenyewe anaweza kuepushwa na maambukizo ya miwayawaya. Na wanaume nao mtoto yule bomba sana sivai kinga kabisa...utamunguunya vipi pipi na ganda lake!? ili kujua utamu wake ni upi?. Mradi shida tupu na maambukizo yanaendelea kushamiri kila kukicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…