sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.
hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi kukuona ni mwanafamilia wao ulieoa binti yao ....
Mfano Msukuma anaweza kumuoa Mbena na hapo kunakuwa na ndugu mpya kati ya wanafamilia wa pande zote mbili katika kutembeleana, kujuliana hali, kusaidiana, n.k
lakini hili linakuwa kazi sana mtanzania mweusi (n wenye weupe wa kibongo) wakioa waarabu au wahindi