sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
waarabu hata uwe mwislamu hadi wakupe binti yao labda uwe tajiri ama kiongozi mwenye cheo kikubwa watakupa binti yao kimkakati, utajikuta umeanza kutumika kama chombo cha kufanikisha mambo yao kuitia cheo chako ama utajiri wako.Waarabu hawana shida sana wanaingiliana popote labda issue ya Imani tu ndio kama sio mlango ule sahau
Umenikumbusha mzee ruksa..hadi akauza loliondo.waarabu hata uwe mwislamu hadi wakupe binti yao labda uwe tajiri ama kiongozi mwenye cheo kikubwa watakupa binti yao kimkakati, utajikuta umeanza kutumika kama chombo cha kufanikisha mambo yao kuitia cheo chako ama utajiri wako.
yaani weaker societies zinapojikombeleza kuoa kwenye stronger societies ndio haya hutokeaNtajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa...
Mkuu,yaani weaker societies zinapojikombeleza kuoa kwenye stronger societies ndio haya hutokea
hakuna chochote hapo,utakua viewed na perceived kama social climber uliejipendekeza kwenye jamii yao.....
Sasa wewe furaha yako unaipata kwenye Sembe na kambare wa mbagala.Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.
hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi kukuona ni mwanafamilia wao ulieoa binti yao ....
Mfano Msukuma anaweza kumuoa Mbena na hapo kunakuwa na ndugu mpya kati ya wanafamilia wa pande zote mbili katika kutembeleana, kujuliana hali, kusaidiana, n.k
lakini hili linakuwa kazi sana mtanzania mweusi (n wenye weupe wa kibongo) wakioa waarabu au wahindi
Ndio maana wao hawako sawa na sisiwaarabu hata uwe mwislamu hadi wakupe binti yao labda uwe tajiri ama kiongozi mwenye cheo kikubwa watakupa binti yao kimkakati, utajikuta umeanza kutumika kama chombo cha kufanikisha mambo yao kuitia cheo chako ama utajiri wako.
Sio ubaguzi. Wakupe mtoto wao utaweza kumlea alete kizazi chenye manufaa ?Hua hawapendi kuchanganya... wabaguzi...
waarabu / wahindi maskini wapo kubao tu, usidhani wote matajiriSio ubaguzi. Wakupe mtoto wao utaweza kumlea alete kizazi chenye manufaa ?
We ukipewa mtaji milion 200 break ya kwanza Bar!
Utaanza kunywa pombe ambayo hujawahi kunywa matokeo yake unarudi Home umejiharia.
Waarabu upuuzi huo hawataki.
Sasa nenda kapose hao maskini basi. Kelele ya nini! 🤣waarabu / wahindi maskini wapo kubao tu, usidhani wote matajiri
Unaonekana ni mtu wa daraja la 3 (3rd class person), India wanaitwa Siddi yaan ni weusi waliopelekwa enzi za utumwa hawakurudi mpaka leo wapo huko huko wanaishi na kuishia, na hawaguswi maana kuwagusa ni kujipa laana kwa hio ushaelewa kwanini hio hali inatokea? Wewe ukimuoa muhindi au mwarabu ndugu zake wanaona umewaingizia laana kwenye ukoo wao yaan umewaingizia mkosilakini hili linakuwa kazi sana mtanzania mweusi (n wenye weupe wa kibongo) wakioa waarabu au wahindi
Mnawazungumzia waarabu wa Yemen au wa hapa nchini, hujafika Nzega wewe yaani watu wanapewa mke haijalishi upoje kiuchumi (ila uwe unajiweza na sio lazima uwe tajiri)waarabu hata uwe mwislamu hadi wakupe binti yao labda uwe tajiri ama kiongozi mwenye cheo kikubwa watakupa binti yao kimkakati, utajikuta umeanza kutumika kama chombo cha kufanikisha mambo yao kuitia cheo chako ama utajiri wako.
Kuna sababu practical na za kueleweka kabisa za kueleza utajiri wa asians na sio izo za kutunza familia. Kasome historia upyaNdio maana wao hawako sawa na sisi
Kwenye upande wa mali wanaongoza kila kona ya dunia. Hata hapa nchini matajiri wakubwa ni wao.
Na hio inatokana na kuhifadhi familia zao .
Wangekuwa wanaolewa Ovyo unadhani wangefika hapo walipo?
We tafuta mgogo mwenzako zaa wagogo km wewe utulie hapo ulipo.
Unataka kuoa mwarabu utamlisha sukumawiki umuue mtoto wa watu?
Mbona wahindi weusi tii tena kama lami wapoMiiko yao hairuhusu Wala sio dharau. Especially wahindi hairuhusiwi kabisa Ukioa ngozi nyeusi unatengwa.
Waarabu hawana shida sana wanaingiliana popote labda issue ya Imani tu ndio kama sio mlango ule sahau
Nani anajadili history hapa.Kuna sababu practical na za kueleweka kabisa za kueleza utajiri wa asians na sio izo za kutunza familia. Kasome historia upya