johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
- Thread starter
-
- #21
Hahahha umemaliza cku vizuri mkuu ckuwah kujiuliza kuhusu mkojo....Ni kweli kabisa hili na sijui kuna signal gani ubongo wetu hupeana pindi umuonapo mtu akipiga miayo...Kitu kingine kinachofanana na mwayo ni kukojoa mnaweza mkawa safarini hata kama na private Car ama hata kwa miguu ukimwambia ulioko naye wacha nipunguze maji hapa mara mingi na yeye atajikuta akikojoa pia..Ila hili nimeliona tukiwa wanaume wote ndo huwa hii hutokea...
Hahahah kuna vitu miili yetu inaifanya bila ridhaa yetu huku ikiacha maswali mengi mno...Hahahha umemaliza cku vizuri mkuu ckuwah kujiuliza kuhusu mkojo....
Nmecheka kama tahira
Maana yake ni kuwa miayo huambukizwa kutoka mtu moja kwenda kwa mwingine.Habarini za asubuhi wapendwa.
Napenda kujua kuna nguvu gani katika kupiga Miayo/yawning.
Nafahamu miayo inamaanisha uchovu/usingizi sasa kwann ukimuona mtu anapiga mwayo lazma na ww utaiga haijalishi kwa kupenda au kutopenda?
Ni siwe muongo nimepiga miayo mara tatu wakati naa upload hii picha....
Majibu yawe
View attachment 434385
Hii inabidi ifunguliwe thread yakeKwanini kwa wanaume mkiwa matembezini mmoja akikojoa na mwingine nae anakojoa??
Ukimaliza comments zote utapiga mwingineNishapiga mwayo hapa kisa hiyo picha daaaah
Ni kweli kabisa hata mm nimeshaliona hilo ila kitaalamu sijui explanation yake hata kucheka ingawa tumeizoea akija mtu anayemjua akacheka mbele yako wengi tunarespond kwa kucheka baadae ndio unamuuliza unacheka nn?Ni kweli kabisa hili na sijui kuna signal gani ubongo wetu hupeana pindi umuonapo mtu akipiga miayo...Kitu kingine kinachofanana na mwayo ni kukojoa mnaweza mkawa safarini hata kama na private Car ama hata kwa miguu ukimwambia ulioko naye wacha nipunguze maji hapa mara mingi na yeye atajikuta akikojoa pia..Ila hili nimeliona tukiwa wanaume wote ndo huwa hii hutokea...
Aiseee naamini hilo kwa kweli na kila sign katka mwili unatoa kwa reason fulani Mungu anamaana yakeHahahah kuna vitu miili yetu inaifanya bila ridhaa yetu huku ikiacha maswali mengi mno...
Jaribu kufanya theory mwangalie mtu akipa najua na ww utatamani tu na utapiga pia upende usipendeMkuu hii inaweza kuwa serious. Sikuwahi kufanya uchunguzi lakini nilpoona tu hiyo picha nikaupiga muhayo. Nikasoma mpaka mwisho,il naingia page ya pili nikaupiga tena mara nyingine baada ya kuiona hiyo picha.
Labda ni mindset iliyojijenga baada ya kuusoma uzi wako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Afu nae anakujibu kwann we unacheka???Ni kweli kabisa hata mm nimeshaliona hilo ila kitaalamu sijui explanation yake hata kucheka ingawa tumeizoea akija mtu anayemjua akacheka mbele yako wengi tunarespond kwa kucheka baadae ndio unamuuliza unacheka nn?