Kwanini ukiona mtu anapiga mwayo/yawning lazima na wewe utapiga?

Ni kweli kabisa hili na sijui kuna signal gani ubongo wetu hupeana pindi umuonapo mtu akipiga miayo...Kitu kingine kinachofanana na mwayo ni kukojoa mnaweza mkawa safarini hata kama na private Car ama hata kwa miguu ukimwambia ulioko naye wacha nipunguze maji hapa mara mingi na yeye atajikuta akikojoa pia..Ila hili nimeliona tukiwa wanaume wote ndo huwa hii hutokea...
Hahahha umemaliza cku vizuri mkuu ckuwah kujiuliza kuhusu mkojo....
Nmecheka kama tahira
 
Mkuu hii inaweza kuwa serious. Sikuwahi kufanya uchunguzi lakini nilpoona tu hiyo picha nikaupiga muhayo. Nikasoma mpaka mwisho,il naingia page ya pili nikaupiga tena mara nyingine baada ya kuiona hiyo picha.

Labda ni mindset iliyojijenga baada ya kuusoma uzi wako.
 
Habarini za asubuhi wapendwa.
Napenda kujua kuna nguvu gani katika kupiga Miayo/yawning.
Nafahamu miayo inamaanisha uchovu/usingizi sasa kwann ukimuona mtu anapiga mwayo lazma na ww utaiga haijalishi kwa kupenda au kutopenda?
Ni siwe muongo nimepiga miayo mara tatu wakati naa upload hii picha....
Majibu yawe
View attachment 434385
Maana yake ni kuwa miayo huambukizwa kutoka mtu moja kwenda kwa mwingine.
 
Ni kweli kabisa hili na sijui kuna signal gani ubongo wetu hupeana pindi umuonapo mtu akipiga miayo...Kitu kingine kinachofanana na mwayo ni kukojoa mnaweza mkawa safarini hata kama na private Car ama hata kwa miguu ukimwambia ulioko naye wacha nipunguze maji hapa mara mingi na yeye atajikuta akikojoa pia..Ila hili nimeliona tukiwa wanaume wote ndo huwa hii hutokea...
Ni kweli kabisa hata mm nimeshaliona hilo ila kitaalamu sijui explanation yake hata kucheka ingawa tumeizoea akija mtu anayemjua akacheka mbele yako wengi tunarespond kwa kucheka baadae ndio unamuuliza unacheka nn?
 
Hahahah kuna vitu miili yetu inaifanya bila ridhaa yetu huku ikiacha maswali mengi mno...
Aiseee naamini hilo kwa kweli na kila sign katka mwili unatoa kwa reason fulani Mungu anamaana yake
 
Mkuu hii inaweza kuwa serious. Sikuwahi kufanya uchunguzi lakini nilpoona tu hiyo picha nikaupiga muhayo. Nikasoma mpaka mwisho,il naingia page ya pili nikaupiga tena mara nyingine baada ya kuiona hiyo picha.

Labda ni mindset iliyojijenga baada ya kuusoma uzi wako.
Jaribu kufanya theory mwangalie mtu akipa najua na ww utatamani tu na utapiga pia upende usipende
 
Ni kweli kabisa hata mm nimeshaliona hilo ila kitaalamu sijui explanation yake hata kucheka ingawa tumeizoea akija mtu anayemjua akacheka mbele yako wengi tunarespond kwa kucheka baadae ndio unamuuliza unacheka nn?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Afu nae anakujibu kwann we unacheka???
 
Back
Top Bottom