johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
- Thread starter
- #21
Hahahha umemaliza cku vizuri mkuu ckuwah kujiuliza kuhusu mkojo....Ni kweli kabisa hili na sijui kuna signal gani ubongo wetu hupeana pindi umuonapo mtu akipiga miayo...Kitu kingine kinachofanana na mwayo ni kukojoa mnaweza mkawa safarini hata kama na private Car ama hata kwa miguu ukimwambia ulioko naye wacha nipunguze maji hapa mara mingi na yeye atajikuta akikojoa pia..Ila hili nimeliona tukiwa wanaume wote ndo huwa hii hutokea...
Nmecheka kama tahira