elvis richard
Senior Member
- Dec 6, 2014
- 195
- 207
Yani ndo nimepatwa na hii kitu now.Nahangaika kupata mwenza sana but sipati.Natongoza nakataliwa hata nikisema nihonge kidogo but sifanikiwi.Ila nikipata tu,wataanza kujiletakuna wakati hutokea, hasa kwa wanaume, ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza nae mahusiano.
cha kushangaza ukibahatika ukaingia humo, Wanawake wanaanza kujitokeza wengi na nafasi ya kuwa nao inakuwepo kama utaamua kufanya hivyo.
hii kitu imekaaje wataalamu ?
Kuna wakati hutokea, hasa kwa wanaume, ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza nae mahusiano.
Cha kushangaza ukibahatika ukaingia humo, Wanawake wanaanza kujitokeza wengi na nafasi ya kuwa nao inakuwepo kama utaamua kufanya hivyo.
Hii kitu imekaaje wataalamu?
Hii kitu kitaalam inaitwa mwenye nacho na aongezewe
Kweli kbsHii kitu kitaalam inaitwa mwenye nacho na aongezewe
Haifanani kwa watu wote, Nilipokuwa mvulana siku zote nilikuwa na warembo 3 wa kudumu, wengine wa kuzungukazunguka wanaingia na kutoka,lakini namba tatu inakuwa permanent.Kuna wakati hutokea, hasa kwa wanaume, ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza nae mahusiano.
Cha kushangaza ukibahatika ukaingia humo, Wanawake wanaanza kujitokeza wengi na nafasi ya kuwa nao inakuwepo kama utaamua kufanya hivyo.
Hii kitu imekaaje wataalamu?
Umenena vyema.Hii kitu kitaalam inaitwa mwenye nacho na aongezewe
.......na asiyenacho hata kile kidogo alichonacho huporwa.......Hii kitu kitaalam inaitwa mwenye nacho na aongezewe