Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
Kwahy tuoe ndipo tutafute manzi au tutafute manzi ndipo tuoe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi ufungwe.... OvaHii kitu kitaalam inaitwa mwenye nacho na aongezewe
ahhh kawaida tu mkuumhhh ..hii imekuwa ngumu kumeza
Kizuri Kula na mwenzioKuna wakati hutokea, hasa kwa wanaume, ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza nae mahusiano.
Cha kushangaza ukibahatika ukaingia humo, Wanawake wanaanza kujitokeza wengi na nafasi ya kuwa nao inakuwepo kama utaamua kufanya hivyo.
Hii kitu imekaaje wataalamu?