Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

Yani ndo nimepatwa na hii kitu now.Nahangaika kupata mwenza sana but sipati.Natongoza nakataliwa hata nikisema nihonge kidogo but sifanikiwi.Ila nikipata tu,wataanza kujileta
Wewe muongo khaaa!! Hahah
 
Ni kwa sababu ukiwa single unakua na njaa kwa hiyo unatumia fosi Sana ili ule na hii kitu wanawakee wengi wanaona kero Sana na Mara nyingi hata ukimpata hamdumu mnaachana.

Ila ukiwa na mtu ndani unatingoza Kama huna shida kwa sababu unauhakika chakula kipo. Na hapa wanawake wengi wanapenda kutongozwa kihivi yaani unamtonhoza Kama hauna shida nae ...na wanawake wengi hawapendi kubanwa ...yaani unaanza kumbana bana wakati bado hajakujua vizuri hii wengi hawaipendi ....na wanaume wengi walio oa hawawabani wamewaachia huru kwa kuhofea wake zao ndani watajua.

Ukimpata mwanamke mwanzoni mwache awe huru .....hakikisha pale anapo ji submit kwako ndio uanze makeke yako ya kimchagulia marafiki na sehemu za kwenda ila Kama haja ji submit hufanyi lolote
owky...hii ime click kwa kiasi fulani
 
Uwe na pesa, muonekano mzuri, Personality, Roho ya ukarimu na upole, Akili or busara etc hapa ndio mtu akisema hana mtu watu wanaona anatania maana mvuto wake ni costant na kuwa single ni uamuzi binafsi

Kuna wengine ndo wapo chini ya average kama mimi na wewe, bila nguvu hakuna anaekutazama kwa hiyo ukipata mtu. at least mtu anapata sababu au hamasa ya kuamini kuwa kuna kitu unacho cha kupendewa

au labda kutokana na mtu unaemmiliki au jinsi mnavyobebishana on public, kuna wale wanajenga kiu ya kujua "UNA NINI WASICHOKIONA KWA NJE"
mhhh ..hii imekuwa ngumu kumeza
 
Yani ndo nimepatwa na hii kitu now.Nahangaika kupata mwenza sana but sipati.Natongoza nakataliwa hata nikisema nihonge kidogo but sifanikiwi.Ila nikipata tu,wataanza kujileta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mzee baba,,,mimi nimeongeq hivi coz kabla sijaoa nili hustle sana...lakini saivi nimetulia na mke wangu ndo naona vidada vinajileta mpaka uvumilivu nahisi utanishinda
 
Lakini kumpata mwanamke sio kazi ata uwe single ata kama hautakuwa na hela kazi ipo kwenye kumpata mke sijui wewe mtoa mada unamana ipi
 
Back
Top Bottom