Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

Yani ndo nimepatwa na hii kitu now.Nahangaika kupata mwenza sana but sipati.Natongoza nakataliwa hata nikisema nihonge kidogo but sifanikiwi.Ila nikipata tu,wataanza kujileta
Wewe muongo khaaa!! Hahah
 
owky...hii ime click kwa kiasi fulani
 
mhhh ..hii imekuwa ngumu kumeza
 
Yani ndo nimepatwa na hii kitu now.Nahangaika kupata mwenza sana but sipati.Natongoza nakataliwa hata nikisema nihonge kidogo but sifanikiwi.Ila nikipata tu,wataanza kujileta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mzee baba,,,mimi nimeongeq hivi coz kabla sijaoa nili hustle sana...lakini saivi nimetulia na mke wangu ndo naona vidada vinajileta mpaka uvumilivu nahisi utanishinda
 
Inategemea na single gani mkuu!,mfano Diamond awe single [emoji28]tafuta pesa acha ujinga
ujinga siuachi...hii kitu inanitokea now baada ya kuoa,,na si kwamba pesa ndo zipo sana tofauti na nilivyokuwa single.
 
Lakini kumpata mwanamke sio kazi ata uwe single ata kama hautakuwa na hela kazi ipo kwenye kumpata mke sijui wewe mtoa mada unamana ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…