DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
πππIla ni kwa watu mnaojuana. Mimi nimekuwa nikimuwaza sana Jokate ila hakuna kinachotokea.
we mwanamke unamwazaje na mwanamke mwenzio? MamaSamia2025Ila ni kwa watu mnaojuana. Mimi nimekuwa nikimuwaza sana Jokate ila hakuna kinachotokea.
Halafu ukimwambia nilikuwa nataka nikupigie anakuona mbabaishajiπ€π€π€π€Huwa inatokea tu...waweza ghahiri kumpigia simu yeye akapigaπ€
Sana,huwa hawaamini kabisa.sijui kwaniniHalafu ukimwambia nilikuwa nataka nikupigie anakuona mbabaishajiπ€π€π€π€
Hahahah....Ila ni kwa watu mnaojuana. Mimi nimekuwa nikimuwaza sana Jokate ila hakuna kinachotokea.
ππππIla ni kwa watu mnaojuana. Mimi nimekuwa nikimuwaza sana Jokate ila hakuna kinachotokea.
Toka asubuhi nakuwaza sana, sema sina namba yako ningekuwa nimesha kupigia mda sana ππππ.Huwa inatokea tu...waweza ghahiri kumpigia simu yeye akapigaπ€
Huu ni uongo mkuu,afu uongo umeanza tangu uoe.Namwonea huruma mkeoToka asubuhi nakuwaza sana, sema sina namba yako ningekuwa nimesha kupigia mda sana ππππ.
Uongo upo mbali kabisa na mimi mkuu , nimetafuta mke wa kuoa imeshindikana, nipo single kabisa ππ. Unaonaje uzibe hili pengo??Huu ni uongo mkuu,afu uongo umeanza tangu uoe.Namwonea huruma mkeo
Hapana,hiyo taasisi pambaneni nayo tu mkuuUongo upo mbali kabisa na mimi mkuu , nimetafuta mke wa kuoa imeshindikana, nipo single kabisa ππ. Unaonaje uzibe hili pengo??