Kwanini ukiwasaidia watu ambao sio ndugu zako unabarikiwa sana ?.

Habari .

Mimi ni muumini mkubwa wa kutoa , Ila katika utoaji wangu huwa nikimsaidia mtu ambaye hatuna undugu wowote , baraka huwa zinarudia kwa kiwango kikubwa Sana.

I need to understand kwa wataalamu wa mambo ya kiroho .
Ukiwasaidia ndugu zako, hilo ni jukumu lako, ukiwasaidia wasio ndugu zako kwako unakuwa umetenda jambo la ziada, lakini hao wasio ndugu zako kama ni maombi kinywani mwao yatatoka pasi na unafiki, kama ni baraka zitatoka pasi na unafiki, lakini watamshukuru Mungu kwa ajili yako hivyo baraka zinakuja automatically.

Kuwasaidia ndugu kama nilivyosema inakuwa ni jukumu lako, lakini pia hao ndugu wataona unawajibika kwao, tena wanaweka kukusema kama umetoa wasivyotarajia, hapawezi kuwa na baraka hapo.
 
ndugu huona kuwasaidia ni haki yao, yaani wanastahili kusaidiwa hawana shukrani hata kidogo.
 
Ukiwasaidia ndugu zako, hilo ni jukumu lako, ukiwasaidia wasio ndugu zako kwako unakuwa umetenda jambo la ziada, lakini hao wasio ndugu zako kama ni maombi kinywani mwao yatatoka pasi na unafiki, kama ni baraka zitatoka pasi na unafiki, lakini watamshukuru Mungu kwa ajili yako hivyo baraka zinakuja automatically.

Kuwasaidia ndugu kama nilivyosema inakuwa ni jukumu lako, lakini pia hao ndugu wataona unawajibika kwao, tena wanaweka kukusema kama umetoa wasivyotarajia, hapawezi kuwa na baraka hapo.
Noted , I learn something new🙏🏽 barikiwa.
 
Kwasababu wanashukuru na kukuombea baraka kwa dhati kabisa lakini ndugu sometimes anona Ile ni haki yake hata hiyo shukrani anaitoa kawaida Tu.
 
Ukiwasaidia ndugu zako, hilo ni jukumu lako, ukiwasaidia wasio ndugu zako kwako unakuwa umetenda jambo la ziada, lakini hao wasio ndugu zako kama ni maombi kinywani mwao yatatoka pasi na unafiki, kama ni baraka zitatoka pasi na unafiki, lakini watamshukuru Mungu kwa ajili yako hivyo baraka zinakuja automatically.

Kuwasaidia ndugu kama nilivyosema inakuwa ni jukumu lako, lakini pia hao ndugu wataona unawajibika kwao, tena wanaweka kukusema kama umetoa wasivyotarajia, hapawezi kuwa na baraka hapo.
Umeandika kitu ambacho kipo sawa kabisa kwa pande zote
 
Back
Top Bottom