Ukiwasaidia ndugu zako, hilo ni jukumu lako, ukiwasaidia wasio ndugu zako kwako unakuwa umetenda jambo la ziada, lakini hao wasio ndugu zako kama ni maombi kinywani mwao yatatoka pasi na unafiki, kama ni baraka zitatoka pasi na unafiki, lakini watamshukuru Mungu kwa ajili yako hivyo baraka zinakuja automatically.
Kuwasaidia ndugu kama nilivyosema inakuwa ni jukumu lako, lakini pia hao ndugu wataona unawajibika kwao, tena wanaweka kukusema kama umetoa wasivyotarajia, hapawezi kuwa na baraka hapo.
Kumpa Ndugu ,unatoa bila moyo kuugulia sababu unahisia za Undugu .Habari .
Mimi ni muumini mkubwa wa kutoa , Ila katika utoaji wangu huwa nikimsaidia mtu ambaye hatuna undugu wowote , baraka huwa zinarudia kwa kiwango kikubwa Sana.
I need to understand kwa wataalamu wa mambo ya kiroho .
Aisee nimejifunza kituKumpa Ndugu ,unatoa bila moyo kuugulia sababu unahisia za Undugu .
Kumpa MTU wasokua wa Damu yako, inahitaji upendo na huruma za hali ya juu sana, hivo Mungu hubariki sana.
Saidia Masikin, Yatima na wajane wenye uhitaji.
Ndio hata maandiko yanasema asiyewasaidia wa nyumbani mwake ni mbaya kuliko asiyeaminiKumbe kusaidia ndugu ni jukumu 😃