matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Usipokuwepo hutaathiriwa naSi wanasema hizo evil spirits zinaweza kukufuata popote ulipo
Hii ni ya kuigwa asee.Sisi kwenye ukoo wetu kila mwisho wa mwaka tukienda 'kuhesabiwa' lazima tuulizane kila anaekwama kwenye mambo yake tujadili namna ya kuinuana.
Malengo yetu ni kuona kila mmoja akifanikiwa na kupunguza utegemezi. Tunataka kila mwana ukoo awe financially independent.
Nzuri hiiSisi kwenye ukoo wetu kila mwisho wa mwaka tukienda 'kuhesabiwa' lazima tuulizane kila anaekwama kwenye mambo yake tujadili namna ya kuinuana.
Malengo yetu ni kuona kila mmoja akifanikiwa na kupunguza utegemezi. Tunataka kila mwana ukoo awe financially independent.
Sisi kwenye ukoo wetu kila mwisho wa mwaka tukienda 'kuhesabiwa' lazima tuulizane kila anaekwama kwenye mambo yake tujadili namna ya kuinuana.
Malengo yetu ni kuona kila mmoja akifanikiwa na kupunguza utegemezi. Tunataka kila mwana ukoo awe financially independent.
Hio ndio system ya Ujamaa. Tanzania system ya ujamaa ya Nyerere ilitusaidia nini? Ina-sound vizuri ila bado ktk ndugu kuna wavivu wengi. Wale wachapa kazi watanyonywa damu na wavivu. Mwisho mambo ya wote yatafeli kabisa.Hii ni ya kuigwa asee.
Ni kweli mkuu...Hio ndio system ya Ujamaa. Tanzania system ya ujamaa ya Nyerere ilitusaidia nini? Ina-sound vizuri ila bado ktk ndugu kuna wavivu wengi. Wale wachapa kazi watanyonywa damu na wavivu. Mwisho mambo ya wote yatafeli kabisa.
Ndugu ni wengi sana. Na shida zao haziishi. Na wana wivu sana. Na wanataka uwape msaada hadi ulingane nao. YANI DUNIA YA LEO UKITAKA KUFELI, Kuwa karibu na ndugu kama umefanikiwa. Najua mifano kibao watu waliajiri ndg kwa biashara nzuri zikafa kabisa.ni kweli mkuu...
lakini nini maana ya kua na pesa mingi huku ndugu zako wanateseka na umasikini...
huu mfumo wa kusaidiana ni best sana mkuu.
Ujama unapromote ujinga na uvivu unaosukumwa na wivu.Hio ndio system ya Ujamaa. Tanzania system ya ujamaa ya Nyerere ilitusaidia nini? Ina-sound vizuri ila bado ktk ndugu kuna wavivu wengi. Wale wachapa kazi watanyonywa damu na wavivu. Mwisho mambo ya wote yatafeli kabisa.
Kaukoo ketu nikaajabu sanaa,mwenye nazo wachacheee wanataka muwasujudie...usipo jipendekeza hawakupi ramani wala msaada,ukijiweka mbalii Ni majungu na lawama oooh mtoto wa Fulani anajiskia....Mara anajitenga na wezake,michango hatoi dah hizi Koo nyingine basi ingekiwa naweza ningehamaa ukoo.....laana na kulaaniana ndo usisemeee,kulogana Nako....
Hilo ni tatizo kubwa sana kwenye jamii zetu za Kiafrika. Shida inakuja pia kuwa watu huwa hawaangalii long term solutions kwenye haya masuala.Tatizo la waafrika ni kutegemeana. Yani mtu akipata vihela tu kidogo ukoo mzima unaanza kumkodolea macho.
Mimi ketu nilikapa likizo mwaka ili nipumzike kidogo. Nilianzishiwa msako mkali na Tiss wa ukoo. Wanakata kujua Nimekaa kimya nimetoboa au naungaunga. Walipo pata habari mbaya wakaanza kutangaza kajamaa kamelaaniwa walipopata habari njema wakabadili gia jamaa amejitenga na ukoo, hataki ndugu hahahahahaKaukoo ketu nikaajabu sanaa,mwenye nazo wachacheee wanataka muwasujudie...usipo jipendekeza hawakupi ramani wala msaada,ukijiweka mbalii Ni majungu na lawama oooh mtoto wa Fulani anajiskia....Mara anajitenga na wezake,michango hatoi dah hizi Koo nyingine basi ingekiwa naweza ningehamaa ukoo.....laana na kulaaniana ndo usisemeee,kulogana Nako....