matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #21
Kwa makini braza,Wadau wengi mna mchango sana.
Cheki na hii hapa:
![]()
247 Prayers Army - Jeshi la Maombi
Maombi ya saa 24 kwa kila siku kwa kila mwaka yanafanyika kwa watu wa Mungu ili kusudi la Mungu liwe imara ndani yao. Karibu ungana nasi.t.me
Hata Yesu alikuwa haombi 24hrs kila siku.
Hahahaha