Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kiufupi tu, Dini ni utapeli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale Vatcan kuna kikundi kinaitwa Jesuits unaweza kukisoma na utaona namna leo dunia inavyo endeshwa kwa uongo.Mkuu hebu funguka zaidi,unaonekana kuna jambo unalijua zaidi.
Lakini hakuondoi ukweli kuwa wakristo wa sasa duniani kote ni zao la kanisa katoliki.Nisawa kwa leo ipo hivyo, lakini unapaswa kujua kati ya Ukristo na Ukatoliki kipi kilianza.
Kama Roman haikuwah kuwa Wakristo bhasi ni dhahiri hakuna ukristo duniani kwasababu Kanisa la Kwnza kuanzishwa lilikuwa ni roman catholic Miaka ya 200's AD Na makanisa mengi yametokea ndani ya Roman catholic tena miaka ya juzi tu hapa kuanzia 1600sKusambaza ukatoliki sio kusambaza ukristo.
Roman si kanisa ni state.
Na hawajawahi kuwa wa Kristo never.
Bible ina majibu yako.Kama Roman haikuwah kuwa Wakristo bhasi ni dhahiri hakuna ukristo duniani kwasababu Kanisa la Kwnza kuanzishwa lilikuwa ni roman catholic Miaka ya 200's AD Na makanisa mengi yametokea ndani ya Roman catholic tena miaka ya juzi tu hapa kuanzia 1600s
Jesuit Order ( Secret Society ) genge la Ma-papa na wahuni wenzao.Pale Vatcan kuna kikundi kinaitwa Jesuits unaweza kukisoma na utaona namna leo dunia inavyo endeshwa kwa uongo.
Wewe kiboboruAliyesema "dumia ndio inayozunguka jua alienda kinyume na imani ya kikatoliki, alinyongwa". Hakika dini ni utumwa.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sentensi yako inaelekeza kwenye ukweli japo umeharibu kwenye kiunganishi "imekuwa" badala ya "ni"na pia umeenza na " Ukristo" badala ya " Uislam"Kwani ukristo imekuwa uislamu hadi ichinje watu?
Kuna wakati ni Vizur kama hujui Kitu kuuliza..Bible ina majibu yako.
Unafikiri ni wajinga kutanguliza neno Roman ?
Au Yesu alikuwa Mkatoliki ?
Then kaangalie Bible inaongeleaje neno Kanisa Kisha linganisha ndio Hilo wanaloongelea Romans.
Makanisa Yote yametoka kwenye shina la roma..Anza na kristo mfatilie matendo na Sheria alizoziishi kuanzia kuumbwa Hadi kuzaliwa then kufa na kufufuka Kisha waangalie ni wepi wanaopita njia za haki alizopita. Je wanafana na huyo Kristo Hadi tuwaite wakristo ( Wafuasi kamili wenye kutii na kuamini ).
Mfano : Yesu alikuwa akiona kwa Macho ya kawaida na ya rohoni ...vipi Hawa Wengine Wana sifa hizo ?.
Mengine watakujuza Wengine.
Kutokea kwenye shina la Roma hao Wengine wote ni waroma waliojitenga kwa sababu flani mfano Anglikana ni mroma aliyeruhusu wazi ndoa za jinsia moja.
Hili halina ubishi, hapo dini moja hadi leo inahamasisha mauaji inaita jihad. Na mwanzilishi wake kacharanga sana watu mapanga. Wakati dini nyingine mwanzilishi kakaripia mtu pekee kwenye circle yake aliyetumia upanga dhidi ya askari wa Kirumi.Dini kuu mbili yaani Ukrisito na Uislam vilipata nguvu kwa sababu ya upanga hilo halina shaka na yeyote atakaye bisha juu ya hilo ni mwenda wazimu.
Waroma wapo kabla ya Mtume Muhammad kuzaliwa, wana historia kubwa na kongwe kuliko Waislamu. Hiyo rekodi yao kubwa ya mauaji siijui maana crusades zilikuwa mbili na ndizo zenye mauaji mengi.Ila waroma walivunja recod ya mauaji ya watu wengi hapa duniani na sidhani kama kuna watu watakuja kuvunja rekod yao, maana waliuwa mpaka wakristo wenzao ambao halijaribu kuhalihasi kanisa katoliki.
Kwanini kwenye suala la Ottoman empire unadai ilikuwa ni expansionism alafu kwenye bara la Amerika unadai Wakatoliki walivamia? Spain au Portugal ndio kanisa?Wakatoriki waliivamia bara la America na kawanagamiza mamilioni ya wahindi wekundu.
Rwanda wameuana Wahutu na Watutsi. Wameuana RPF dhidi ya vikosi vya serikali ya Abyarimana. Kanisa katoliki ndio kilikuwa chama tawala, jeshi, polisi, Kagame au kabila gani pale Rwanda?Na pia katika miaka ya hivi karibuni kanisa limekuwa likihusishwa na kashifa mbovu za mauaji mfano mauaji ya kimbali nchini Rwanda.
Wakati huo walikuwa wanaua, wanachinja na kuchoma makanisa au kuyabadili misikiti. Unawezaje kusema hawakuwa wanalipa nguvu wakati Ottomans ndio wasambazaji wakubwa wa Uislamu duniani kwa upanga kuliko hata watu wa Saudi.Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa Ottoman kipaumbele chake kikubwa kilikuwa ni kutanua imaya yao, suala la dini walikuwa hawalipi nguvu sana kiivyo
Kuna Wakristo, wapagani na Wayahudi ambao walitozwa kodi na kulazimishwa kusilimu.na ndio maana ndani ya Ottoman kulikuwa na wakristo na wapagani kibao na hawakuwahi kuuawa ,tofauti na upande wa utawala wa waroma ambao wapagani walikuwa wana uawa.
Mzee pitia pitia uone symbol, names, numeralas zilitumikaje utakuja kuona kuwa hata hao waroma wamekwangua mahali hiyo idea ya kanisa even msalaba.Makanisa Yote yametoka kwenye shina la roma..
Protestant
Anglicana
Lutheran
Sabatoo
Kifupi ni yoteeee yna asili ya kutoka roma
Mzee Soma Tena ulichoandika Kisha Rudi nyuma kasome nilichoandika. Na ukifanikiwa kuja Kama Roman ilikuwa kanisa kabla au baada ya Yesu rudi tusemezane.Kuna wakati ni Vizur kama hujui Kitu kuuliza..
You seems to be amateur in Church history...
so Unafata kile walichokuambia walimu na wachungaji wa dini Yako bila kukufundisha kuhusu Historia sahihi ya kanisa lako ama dhehebu lako...
Sijazungumzia kuhusu Ukristo kama mnaonasibisha na biblia..
najua kuhusu Wanafunzi wa barnaba ,Petro na paul walivyokuwa wakiitwa (Wakristo) Matendo 11:26 Tena kipindi hichi kilikuwa uongozi wa Emperor Claudian kamtafute usome vizuri...Hiyo ilikuwa ni karne ya Kwanza .why limeitwa Roman bcuz it was started in Rome under Roman Empire
it was Just kikundi cha watu na sio as church taasisi kana sasa na nikukumbushe kuwa hawakuwa Wengi na waliishi kwa mashaka kule kuishi kwa mashaka na hofu ya kuwindwa na Serkali ndo kulipunguza wingi wao na kufanya kuwa kikundi kichache cha watu na sio watu wengi kama unavyofikiria...
nenda kamuulize Mchungaji wako atakuambia kuhusu hili kwamba wanafunzi wa yesu hawakuwa maarufu wala Kufahamika miongoni mwa jamii kwa kiasi kikubwa mpaka baada ya karne ya kwanza miaka ya 200 mpaka 300 AD kipindi ambacho wao nahisi walikua wamekwisha kuwa mifupa mikavu kaburini...
Na mind you..Yesu alikuwa Masihi au Kristo kwahiyo hakuwahi kuanzisha Dini wala Kuamrisha kuanzisha Dini yoyote wala hakuwa mkristo bali alihudhuria ila alihamasisha amri ya musa Ya UPENDO...
Catholic Imeanza zamani sana mwishoni mwa karne ya 1 huko miaka ya 100s na mpaka ilipokuja kuwa Regalised kwamba wakristo wawe huru Mwaka 313 AD (Kasome the Edict of milan)
Constantine ndo aliifanya Iwe dini Rasmi ya Empire nzima na kupiga marufuku Dini za Miungu wengine...
Unajua bora hata wangesema Orthodox Ambao wao Walijiengua mapema sana Kutoka kwenye ukatolic Miaaka ya 1040 AD..
Sasa pamoja na kuandika Yote ukiyoandika ukiwa na Mihemko bado hujajibu swali langu..
Plz show me Historia ya Kanisa lolote Duniani ambalo haina historia au haikutoka katika kanisa la Catholic.
Mbona Roman empire ipo kabla ya ukristo ?Kama Roman haikuwah kuwa Wakristo bhasi ni dhahiri hakuna ukristo duniani kwasababu Kanisa la Kwnza kuanzishwa lilikuwa ni roman catholic Miaka ya 200's AD Na makanisa mengi yametokea ndani ya Roman catholic tena miaka ya juzi tu hapa kuanzia 1600s
We mpumbavu hivi unajua roman empire ipo tangu Karne ya 20 kabla ya kuzaliwa hata yesu.Kuna wakati ni Vizur kama hujui Kitu kuuliza..
You seems to be amateur in Church history...
so Unafata kile walichokuambia walimu na wachungaji wa dini Yako bila kukufundisha kuhusu Historia sahihi ya kanisa lako ama dhehebu lako...
Sijazungumzia kuhusu Ukristo kama mnaonasibisha na biblia..
najua kuhusu Wanafunzi wa barnaba ,Petro na paul walivyokuwa wakiitwa (Wakristo) Matendo 11:26 Tena kipindi hichi kilikuwa uongozi wa Emperor Claudian kamtafute usome vizuri...Hiyo ilikuwa ni karne ya Kwanza .why limeitwa Roman bcuz it was started in Rome under Roman Empire
it was Just kikundi cha watu na sio as church taasisi kana sasa na nikukumbushe kuwa hawakuwa Wengi na waliishi kwa mashaka kule kuishi kwa mashaka na hofu ya kuwindwa na Serkali ndo kulipunguza wingi wao na kufanya kuwa kikundi kichache cha watu na sio watu wengi kama unavyofikiria...
nenda kamuulize Mchungaji wako atakuambia kuhusu hili kwamba wanafunzi wa yesu hawakuwa maarufu wala Kufahamika miongoni mwa jamii kwa kiasi kikubwa mpaka baada ya karne ya kwanza miaka ya 200 mpaka 300 AD kipindi ambacho wao nahisi walikua wamekwisha kuwa mifupa mikavu kaburini...
Na mind you..Yesu alikuwa Masihi au Kristo kwahiyo hakuwahi kuanzisha Dini wala Kuamrisha kuanzisha Dini yoyote wala hakuwa mkristo bali alihudhuria ila alihamasisha amri ya musa Ya UPENDO...
Catholic Imeanza zamani sana mwishoni mwa karne ya 1 huko miaka ya 100s na mpaka ilipokuja kuwa Regalised kwamba wakristo wawe huru Mwaka 313 AD (Kasome the Edict of milan)
Constantine ndo aliifanya Iwe dini Rasmi ya Empire nzima na kupiga marufuku Dini za Miungu wengine...
Unajua bora hata wangesema Orthodox Ambao wao Walijiengua mapema sana Kutoka kwenye ukatolic Miaaka ya 1040 AD..
Sasa pamoja na kuandika Yote ukiyoandika ukiwa na Mihemko bado hujajibu swali langu..
Plz show me Historia ya Kanisa lolote Duniani ambalo haina historia au haikutoka katika kanisa la Catholic
Papa aliamuru kwenda kukomboa maendeleo matakatifu yerusalem ambayo ilikua chini ya utawala wa waislam,wakiishi vizuri kwa pamoja waislam wakiristo wa orthodox na wayahudi,walipokuja hao wapagani wa Roma lango la yerusalem likafungwa,wakafanikiwa kubomoa,wakaua waislam wakiristo wa orthodox na wayahudi,damu zilifika magotiniUlimdodosa zaidi kwa nini waliamua kutumia mapigano?Kamuulize nini ilikuwa sababu ya crusade?
Roman empire ilikua Dola ya kioagani,kiongozi wake alipoukubali ukiristo ndipo ikafanywa dini ya Dola la kirumi,huku upagani wa kirumi ukiwa na influence kwenye Imani ikiwemo sikukuu ya pasaka nkMbona Roman empire ipo kabla ya ukristo ?
Yesu alisomewa mashtaka Kwa herode kiongozi wa Roman Empire.
Hebu toa mfano mmoja wa waislam waliovamia Kijiji na kulazimisha watu kusilimu,maana Qur'an inasema 'hakuna kukazimishana kwenye dini'Mzee, ukifatilia history utajua mengi.
Wakati wa uenezaji wa hizi dini kulikuwa na ukatili kupita kiasi, ilikuwa Uislam wanaweza kuvamia Kijiji na kuamrisha kila mmoja kujiunga nao ama uchague kifo. Wakristo nao vivyo hivo walifanya unyama huo.
Sasa kwa akili za kutetea dini yako unaweza kuona kwamba hawakufanya hivo