Kwanini Ukristo (Ukatoliki na makanisa washirika ) waliamua kuchinja watu?

Kwanini Ukristo (Ukatoliki na makanisa washirika ) waliamua kuchinja watu?

We mpumbavu hivi unajua roman empire ipo tangu Karne ya 20 kabla ya kuzaliwa hata yesu.
Sijajua mantiki yako ya Kutoa matusi...Na pia sijajua Hoja yako Ya Roman empire While nimezungumzia Roman catholic
Unajua maana ya Catholic..
 
Maybe nahisi bado hujaelwa Point yangu Nilichosema na ninachokisema Siku zote Madhehebu yote yamediverge from Rome na hakuna hata moja ambalo halina mizizi kwenye catholic
Sijapinga hili husemalo. Nilichokiongelea hapo ni Roma ilijivika Ukanisa kabla au baada ya Yesu ?...Mana inaonesha baada ya Yesu kuwaambia wanafunzi wake watawanyik wakauhubiri inijili kwa mataifa priest walirudi kuihalifu Serikali kuwa Hali itakuwa Mbaya na watapoteza zaidi hivyo wafanye namna kucounter hizi movement.
 
Hebu waulize wakatoliki wenzako hili, maana wewe inaonekana lilikupita kushoto.

Mlichinja watu wengi sana hiki wanachofanya Al shabab ni kitu iidogo sana ukilinganisha na mliyofanya nyinyi tena zama hizo.
Sawa ndiyo nimesema hao walio chinja watu kwa mwavuli wa ukristo hawakuwa wakristo wa kweli na hao ndiyo walio wauwa mitume wale waawali na hata waliwauwa wenzao hasa wale walio uelewa ukristo na kuanza kufundisha kweli ya Mungu wote waliuawa. Hivi unajua kama Vatcan ilizuia biblia isisomwe kama ilivyo leo na ilikuwa ni marufuku mtu wakawaida kuimiliki?
 
Sijapinga hili husemalo. Nilichokiongelea hapo ni Roma ilijivika Ukanisa kabla au baada ya Yesu ?...Mana inaonesha baada ya Yesu kuwaambia wanafunzi wake watawanyik wakauhubiri inijili kwa mataifa priest walirudi kuihalifu Serikali kuwa Hali itakuwa Mbaya na watapoteza zaidi hivyo wafanye namna kucounter hizi movement.
Yeah hapo Sasa nimeona kuwa tupo On one side baadhi ya hoja and it was on 4th centure 313 walipoona kuwa waunganishe Dini na Serikali Na ilifanywa na Costantine mwenyewe
 
Hili halina ubishi, hapo dini moja hadi leo inahamasisha mauaji inaita jihad. Na mwanzilishi wake kacharanga sana watu mapanga. Wakati dini nyingine mwanzilishi kakaripia mtu pekee kwenye circle yake aliyetumia upanga dhidi ya askari wa Kirumi.

Waroma wapo kabla ya Mtume Muhammad kuzaliwa, wana historia kubwa na kongwe kuliko Waislamu. Hiyo rekodi yao kubwa ya mauaji siijui maana crusades zilikuwa mbili na ndizo zenye mauaji mengi.

Crusaders ni response ya dini moja kujitia ujuaji ikajiona inaweza kila kitu bila kuheshimu mipaka yake. Ndio dini hiyohiyo inapigwa India na China, ndio hiyohiyo ilileta ujuaji ikapigwa Myanmar watu laki ngapi wakawa wakimbizi. Uko nako kuna Wakristo?

Kwanini kwenye suala la Ottoman empire unadai ilikuwa ni expansionism alafu kwenye bara la Amerika unadai Wakatoliki walivamia? Spain au Portugal ndio kanisa?
Kwamba China ikivamia India tunasema wapagani au mabudha wamevamiana?

Wakati huo Ottoman ilikuwa ikivamia sehemu inaua Wakristo na Wayahudi au kuwatoza kodi. Si mmeelekezwa hivyo?

Rwanda wameuana Wahutu na Watutsi. Wameuana RPF dhidi ya vikosi vya serikali ya Abyarimana. Kanisa katoliki ndio kilikuwa chama tawala, jeshi, polisi, Kagame au kabila gani pale Rwanda?

Mbona hatusemi Uislamu umeua maelfu pale Yemen ambako Houthi wamepambana na serikali kisha na Saudi Arabia?
Mbona hatusemi Uislamu umeua pale Syria ambako Assad anapigana na waasi. Irak na Iran zimepigana miaka nane na kuua watu zaidi ya laki tano mbona hatusemi Uislamu uliuana.

Vikundi vya kigaidi chungu nzima ni vya wasubiri bikra 70 na mito ya pombe ahera. Hakuna kundi la kigaidi linasali Baba yetu uliye mbinguni ila ile A.A ni kama vyote.

Wakati huo walikuwa wanaua, wanachinja na kuchoma makanisa au kuyabadili misikiti. Unawezaje kusema hawakuwa wanalipa nguvu wakati Ottomans ndio wasambazaji wakubwa wa Uislamu duniani kwa upanga kuliko hata watu wa Saudi.

Kuna Wakristo, wapagani na Wayahudi ambao walitozwa kodi na kulazimishwa kusilimu.
Mkuu naona umejikita kwenye kejeli na mihemko zaidi kwaheli.
 
Walitaka waongoze watu kwa uwoga na nguvu..na pia ili wa control watu na pia kuendelea kujimilikisha Mali. Fuatilia Spanish inquisition utaelewa
Waliingia kueneza dini kama wanakondoo kumbe mbwa mwitu, wewe ulishasikia wapi msamaha wa dhambi unauzwa.
 
Tulipokua wadogo,tulifundishwa na mwalimu wa kanisani kuwa sisi siyo wakiristo bali ni wakristu,yani mpaka sasa siujui utofauti wa maana uliopo kwenye maneno haya.
 
Kilichoandikwa hapo ni sawa kabisa, ni maelekezo kutoka kwa Mungu kwa mfalme wa kwanza wa Israel "Sauli".
Ukikata kuelewa vizur soma Sura nzima, kusoma mstari mmoja hautaelewa kitu, hujui waamaleki walimfanyia nn Mungu na waliwafanyia nn waisraeli hadi Mungu akaamuru hio hukumu juu yao.
Soma sura nzima ndo utapata the full picture.

Ukimaliza kusoma, njoo tudiscuss kwann Mungu mwenye upendo aliamuru watu wauliwe tena hadi watoto.

Mm ni mtu ambaye siogopi maswali kuhusu imani yangu, sio kama wakristo wengine ambao wameridhika.

Mm bado natafuta kujua ukweli, kama una maswali ww lete mzee.
Sasa tudiscuss hiyo aya ya tatu kutoka chini maana ina maswali mengi mazito ,halafu niweke mambo sawa aya haisemi watoto tu ,mpaka vichanga na wanyama yaani huu ni ukatili mzito kuwahi kushuhudiwa..
NASB_1_Samuel_15-3.jpg
 
Sasa tudiscuss hiyo aya ya tatu kutoka chini maana ina maswali mengi mazito ,halafu niweke mambo sawa aya haisemi watoto tu ,mpaka vichanga na wanyama yaani huu ni ukatili mzito kuwahi kushuhudiwa..View attachment 2780299
Umesoma hio sura nzima?

Kama umesoma bac uliza swali?

Alaf hiko sio kitendo(siwez tumia neno ukatili kama mungu ndo ameamuru kifanyike) kikubwa sana cha kushangaza mzee, waulize Misri walifanyiwa nn na Mungu walipokataa kuwaachia waisraeli warudi nchi yao, ipo hadi kweny vitabu vyao vya historia, waliona kila rangi.
 
Ukiondoka ukatoliki dini nyingi sana za wakristo zimezaliwa na kugrow bila mkonowa damu.

Ule waliofanya wakatoliki walifanya wakiwa na baraka zote za Shetani hakuna Mungu wa vile.
😂Sasa hapo mtarushiana mpira tu..sawa hamna damu je utapeli...ubakaji...magonjwa (uponaji feki) uongo, etc
 
Umesoma hio sura nzima?

Kama umesoma bac uliza swali?

Alaf hiko sio kitendo(siwez tumia neno ukatili kama mungu ndo ameamuru kifanyike) kikubwa sana cha kushangaza mzee, waulize Misri walifanyiwa nn na Mungu walipokataa kuwaachia waisraeli warudi nchi yao, ipo hadi kweny vitabu vyao vya historia, waliona kila rangi.
1. Mungu huyo huyo alifanya farao awe na roho ngumu afu huyo huyo ndo anaadhibu watoto wa misri. Si uchoko huu
2. Acha uwongo hamna historia yoyote ya Misri inayosema kuhusu Mambo ya mpanua bahari...😂hizi hekaya zipo kwenye Bible tu. Kama unabisha fuatilia documentary zote za Egypt ancient history unionyeshe
 
1. Mungu huyo huyo alifanya farao awe na roho ngumu afu huyo huyo ndo anaadhibu watoto wa misri. Si uchoko huu
2. Acha uwongo hamna historia yoyote ya Misri inayosema kuhusu Mambo ya mpanua bahari...😂hizi hekaya zipo kwenye Bible tu. Kama unabisha fuatilia documentary zote za Egypt ancient history unionyeshe
Mzee mm na documentaries ni kama mbongo na wali maharage, nimeziangalia hizo na nyingine nyingi tuu.

Kadri siku zinavoenda kuna information mpya zinapatikana mzee usikariri.

Do you anything about the ancient Egyptian hieratic papyrus called the "Ipuwer Papyrus"?
Jaribu kuifatilia ni nn hio?
 
Kusambaza ukatoliki sio kusambaza ukristo.
Roman si kanisa ni state.
Na hawajawahi kuwa wa Kristo never.
Kwa hiyo Ukatoliki siyo Ukristo,ila hayo matakataka yenu mnayoabudu kwa kelele ndiyo ukristo?
 
Hebu toa mfano mmoja wa waislam waliovamia Kijiji na kulazimisha watu kusilimu,maana Qur'an inasema 'hakuna kukazimishana kwenye dini'
Kuna kitabu nimeshindwa kukutumia link, hebu Google andika, "historia ya kanisa ikoll"
Utaona jinsi ukristo na uislamu vile ulieneza dini kikatili sana.
 
Back
Top Bottom