Kwanini Ukristo (Ukatoliki na makanisa washirika ) waliamua kuchinja watu?

Kwanini Ukristo (Ukatoliki na makanisa washirika ) waliamua kuchinja watu?

Uroman sio ukristo
Ni udhehebu
Na mungu hakuanzisha roman
Alianzisha kanisa la mitume siku ya pentekoste
Roman nimwaka 300 bk
Ila kanisa la mungu lilianzishwa siku ya Pentecost na haimaanishi kuwa ndo dhehebu hili la Pentecost
Roman sio ukristo kwasababu halifati biblia tena ila kanuni na misingi ya imani ya dhehebu hilo ambayo hawajali atakama inapingana na biblia.
Na biblia inaliita kuwa ni mama wa makahaba na amezaa binti wakufanana nae
Kwaio usiingize ukristo kwenye udhehebu
 
Mzee mm na documentaries ni kama mbongo na wali maharage, nimeziangalia hizo na nyingine nyingi tuu.

Kadri siku zinavoenda kuna information mpya zinapatikana mzee usikariri.

Do you anything about the ancient Egyptian hieratic papyrus called the "Ipuwer Papyrus"?
Jaribu kuifatilia ni nn hio?
😂😂😂😂 Mbona sisi hatuzioni story za wapanua bahari kwenye documentary za Egypt. We unaangalia bible movies unasema ni documentary of Egyptian history
 
Kuna kitabu nimeshindwa kukutumia link, hebu Google andika, "historia ya kanisa ikoll"
Utaona jinsi ukristo na uislamu vile ulieneza dini kikatili sana.
Mimi najua uislam ulovyoenea,hakuna huo uwongo,mtume saw kapigana Vita akiwa Madina tu,Tena vya kuchokozwa, muislam hapigani Vita mpaka achokozwe,ndiyo maelekezo
 
Mimi najua uislam ulovyoenea,hakuna huo uwongo,mtume saw kapigana Vita akiwa Madina tu,Tena vya kuchokozwa, muislam hapigani Vita mpaka achokozwe,ndiyo maelekezo
Hakuna ubaya ndugu kuendelea kubaki na Imani hiyo. Unachotakiwa kuelewa ni kwamba hicho nimekwambia upitie ni masimulizi ya kihistoria kama hayo unayoyaamini. Mambo kuhusu ueneaji wa dini tunayasoma tu na kuchagua ya kuyaamini maana hatukuwepo kwenye tukio lolote.
 
Najua umesoma historia iliyoandikwa na wazungu, wazungu huandika vitu hasi dhidi ya wengine,wanadai walipokuja walitukuta wajinga,washenzi hatuna elimu,wakati walikuta tukijitegemea kwa chakula,mavazi na hata huduma za afya
 
We uliyosoma imeandikwa na nani
 
Ulimdodosa zaidi kwa nini waliamua kutumia mapigano?Kamuulize nini ilikuwa sababu ya crusade?
Hivyo vilikuwa Vita vya kupanua himaya za kiutawala na kudhibiti maeneo Ila zilivalishwa sura ya kidini ili kuvutia wengi kujiunga huku wakiamini wanapigana ili kulinda imani zao.
 
Uislam usiusingizie kabisa tena.

Kama u mkweli weka ushahidi.
Rejea moja ya sababu ya vita vya jihad kule Afrika ya Magharibi ilikuwa ni kuimarisha na kueneza dini ya kiislam, case study ni jihad ya kule West Africa, na mfano WA jihadist ni Othman Dan Fodio.
 
😂😂😂😂 Mbona sisi hatuzioni story za wapanua bahari kwenye documentary za Egypt. We unaangalia bible movies unasema ni documentary of Egyptian history
Kumbe ndio technique yako, kuniwekea maneno mdomoni ambayo sijasema.

Sawa.
 
Kwa hiyo Ukatoliki siyo Ukristo,ila hayo matakataka yenu mnayoabudu kwa kelele ndiyo ukristo?
FB_IMG_16853563984479802.jpg

Maria mama Mtukufu.
 
Mimi najua uislam ulovyoenea,hakuna huo uwongo,mtume saw kapigana Vita akiwa Madina tu,Tena vya kuchokozwa, muislam hapigani Vita mpaka achokozwe,ndiyo maelekezo
😊Sawa walifika Europe wakawaimbia bomaya wote wakaslim 😂😂😂
 
Uislam usiusingizie kabisa tena.

Kama u mkweli weka ushahidi.
Hata mpaka leo mnachinja na kupiga mawe Tena kwa maelekezo ya kuran.

Kwa uislam kuchinja kwa upanga Mbona Ni kitu Cha kawaida Sana.

Nikiacha uislam Leo siwezi kutangaza sababu adhabu yake Ni kuchinjwa kwa upanga.

Kuwa mkweli.
 
Umesoma hio sura nzima?

Kama umesoma bac uliza swali?

Alaf hiko sio kitendo(siwez tumia neno ukatili kama mungu ndo ameamuru kifanyike) kikubwa sana cha kushangaza mzee, waulize Misri walifanyiwa nn na Mungu walipokataa kuwaachia waisraeli warudi nchi yao, ipo hadi kweny vitabu vyao vya historia, waliona kila rangi.
Weka link nisome sura nzima.
 
Back
Top Bottom