Kwanini uliamua kujiunga JF?

Kisai

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
28,481
Reaction score
28,749
Mtu mwenye akili timamu hufanya mambo kwa nia yaani dhamira na lengo fulani.

Huu ni uzi ambao unaweza kubadilisha dhamira zetu za awali au sababu zilizotufanya tuingie jf. Kila mtu ana sababu zake kwazo zilimpelekea ajiunge na mtandao huu.

Swali,je ni sababi zipi zilikufanya ujiunge na jf,je ni mkumbo,kutafuta umaarufu,kuwachunguza watu,kujifunza,kufanya utafiti au ?
 
Niliingia jf kupata habari mbalimbli na kufuatilia mijadala ya watu makini.

habari ninazipata kwa ufasaha na uhakika, mijadala nayo ipo motomoto, ila mwisho wa siku.....
 
Mm huku nakuja tu kuona akili za watz wengi zilivyogurugika bhc ...kuna watu huku n watema moshi balaaa.....kwangu jf sio sehemu ya kuadress inshu serious za maisha maana 80% wapo kiutan zaidi
Hili ndio jambo ambalo huwa linanikera sana humu jf.

Unakuta mada inawekwa,watu wanaleta mzaha balaa. Watu badala wachangie mada vile inavyotakiwa wanaleta uzwazwa.
 
Hili ndio jambo ambalo huwa linanikera sana humu jf.

Unakuta mada inawekwa,watu wanaleta mzaha balaa. Watu badala wachangie mada vile inavyotakiwa wanaleta uzwazwa.
Usikereke mkuu ,wazoee tu...huku ukileta Uzi usiohusisha mambo ya ngono au mgegedo aisee utapata wachangiaji wachache sana...leta mada za kipuuz sasa,wanajaa balaa
 
Mie kupata habari na kujifunza mambo mbalimbali. Kiukweli jf kuna watu wapo deep sana na wengine ni vilaza sana.

Ila mleta MADA hujasema sababu gani wewe zimefanya ujiunge jf.
 
Mie kupata habari na kujifunza mambo mbalimbali. Kiukweli jf kuna watu wapo deep sana na wengine ni vilaza sana.

Ila mleta MADA hujasema sababu gani wewe zimefanya ujiunge jf.
Kuna utafiti naufanya !
 
Wewe ungeanza basi walao kutuambia ni kwa nini ulijiunga humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…