Kwanini ulijiunga JamiiForums na uliijulia wapi?

nilikuwa na GOOGLE kwenye kompyuta neno neno JAMII KWANZA

yakashuka meengi nikayasoma ikabakia neno la jamii forum nikasema ngoja nilicheki ndo kushuka vitu hapo.
 
Mimi nimeionaga sana muda mreefu bt nikawa naipotezea tu ima day nipo mbeya chuoni kuna rafiki angu. Mmoja aliehitimu chuo hapa mbeya alirudi kuchukua cheti so wakati nipo nae twapiga story c ndo nikaona ameingia jf nami nikamuuliza kuhusu jf akaniekewesha ikabidi nami nijiregiste cku hiyo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi marekani karo ya chuo tsh ngapi? Na mshahara bongo tsh ngapi?
 
Nilijiunga ili niache kupiga Punyeto iliyotukuka na niliujua kutoka kwa wapenda kupiga Punyeto waliotukuka ambao wapo humu Kitambo kidogo.
 
Yupo MTU mmoja ni rafiki yangu sana wakaribu alinihamasisha kuja humu tens akaniambia niweke I'd ya uongo sasa mpka Leo mm sijui I'd yake na nadhani pia yangu haijui kuna siku nitamtunishia mbavu nakumwambia yeye ni mtoto kwangu kumbe yeye ndo kanigungulia pazia nikaona huku.
 
Nilikuwa nikiingia google kutafuta mambo yangu nakutana na link ya JF,sikuwahi kufungua account japo nilikuwa nikisoma habari mbalimbali kupitia jf.Baada ya miaka kadha nilimsikia kiongozi mmoja akilalamika kuwa watu wamekuwa wakimtukana kupitia mitandao mbalimbali ikiwemo jamii forum.Nilitamani kuacha kuwa nasoma habari bila kuchangia nikajaribu kufungua account bila app then nikasahau password but nilivyokuja kupata smartphone ya kueleweka nilijiunga rasmi.Sijawahi kujutia kuwa mwana JF.I love all the members japo sometimes tunapeana changamoto mbalimbali.Mungu ibariki JamiiForums,Tanzania,Africa na Dunia.
 
Reactions: BAK

Candid yupo wapi?
 
Kwi kwi kwi kwi lol!

CC: mshana jr

 
Hawa watu walinivutia sana mpaka nikaamua kujiunga rasmi.

Mzizi Mkavu
Kongosho
Bujibuji
Katavi
Mamdenyi
Madame b
Nyani Ngabu
Ila kongosho sijui kapotelea wapi?
 
Niliijua jf 2010 kipindi nipo o'level kupitia google,ilikua kila nikisearch habari nyingi za Tz zinakuja link za Jf. Mwaka 2011 nikajiunga rasmi
 
Hahahahahahah mkuu wewe kama mimi niliijua 2013 kama sikosei ila nilijiunga rasmi 2016 ila kwa sasa jf sio kama mwanzo navyonyapianyapia sijui nimeizoea au imepoteza mvuto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…