Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha sawa mkuuInasemekana wewe ni mod.. Kwiyo sema uliijua wakat we na wenzako mnaitengeneza
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Hahahaah, umeungwa.Kwa bahati mbaya au nzuri mimi sikuwahi kujiunga na Jamiiforums.
Nilishtukia tuu siku moja imebadilishwa kutoka jambofurums kuja jamiiforumsHahahaah, umeungwa.
Hahahaah basi uliungwa automatically....!! Enzi hizo ikiwa jamboforums nilikuwa msomaji tu nilikuwa naogopa kujiunga hahahaah.Nilishtukia tuu siku moja imebadilishwa kutoka jambofurums kuja jamiiforums
Ya rangi hiyo
Hii chaiDah.... Mie nilijulia Uganda wakati wa vita vya kumg'oa Nduli mwaka 1978[emoji13] [emoji41]
Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
Duh rang ya chupiA best friend of mine Liberatha those days of varsity..
Kulikua na thread moja mkware alikua anafukuzia duu fulani kamfatilia sana ilafika siku ndo kaahidiwa eti ataenda walau kuoneshwa hata rangi ya chupi.. Ilikuwa kama series. Ndobtukaamua kujiungaja 9 April year of Wahenga.
Mahondaw wa Smart911
Dah..