Kwanini ulijiunga JamiiForums na uliijulia wapi?

Kwanini ulijiunga JamiiForums na uliijulia wapi?

Nakumbuka ilikuwa 2007 kuna habari nilikuwa naitafuta google, ghafla nikajikuta naingia JF na nikaanza kuwa member wa kusoma habari na mambo mengine. Baada ya miaka miwili 2009 nikajiunga rasmi.
 
Nilishtukia tuu siku moja imebadilishwa kutoka jambofurums kuja jamiiforums
Hahahaah basi uliungwa automatically....!! Enzi hizo ikiwa jamboforums nilikuwa msomaji tu nilikuwa naogopa kujiunga hahahaah.
 
Nilijiunga tangu 2009, nikaja kusahau password, nikajiunga tena 2013 chuon
 
A best friend of mine Liberatha those days of varsity..
Kulikua na thread moja mkware alikua anafukuzia duu fulani kamfatilia sana ilafika siku ndo kaahidiwa eti ataenda walau kuoneshwa hata rangi ya chupi.. Ilikuwa kama series. Ndobtukaamua kujiungaja 9 April year of Wahenga.

Mahondaw wa Smart911
 
Binafsi awali nilikuwa msomaji mzuri sana wa jf nimedumu hivyo kwa zaidi ya mwaka tokea nilipoijua jf mwaka juzi nikaona aaah isiwe tabu ngoja niingie tu nipate App yangu
Ingawa sio shabiki wa siasa sana lakini napenda kusoma karibu makala zote
Bahati mbaya niliyonayo ni kwamba sijawahi pata demu hapa jf licha ya kuwa na marafiki kibao kama miss chagga n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2008, nilijiunga kwa mara ya kwanza nikiwa mlimani baada ya kusikia kuwa JF ni kwa watu ambao ni great thinkers. ..
Nilifungua account lakin nilikiwa nashindwa kuperuz vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A best friend of mine Liberatha those days of varsity..
Kulikua na thread moja mkware alikua anafukuzia duu fulani kamfatilia sana ilafika siku ndo kaahidiwa eti ataenda walau kuoneshwa hata rangi ya chupi.. Ilikuwa kama series. Ndobtukaamua kujiungaja 9 April year of Wahenga.

Mahondaw wa Smart911
Duh rang ya chupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu fulani nilikuwa nasearch google kupata maelezo yake link niliyobonyeza ndo ikanileta huku. Mpaka leo ndo nimezamia mazima.
 
Back
Top Bottom