Kwanini ulijiunga JamiiForums na uliijulia wapi?

Kwanini ulijiunga JamiiForums na uliijulia wapi?

nilikuwa na GOOGLE kwenye kompyuta neno neno JAMII KWANZA

yakashuka meengi nikayasoma ikabakia neno la jamii forum nikasema ngoja nilicheki ndo kushuka vitu hapo.
 
Mimi nimeionaga sana muda mreefu bt nikawa naipotezea tu ima day nipo mbeya chuoni kuna rafiki angu. Mmoja aliehitimu chuo hapa mbeya alirudi kuchukua cheti so wakati nipo nae twapiga story c ndo nikaona ameingia jf nami nikamuuliza kuhusu jf akaniekewesha ikabidi nami nijiregiste cku hiyo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka ilikuwa 2009 nikiwa kidato cha tano,tulikuwa kwenye gar na mke wa mjomba wangu ndo akapigiwa simu mme wake.Wakapiga story kwa muda baadae wakaanza kumzungumzia jamaa yetu aliyekuwa masomoni Marekani kwamba amerejea na bado hajapata kazi,hapo ndo huyo aunt wangu akasema labda huyo jamaa awe anapitia Jamii forum ili aweze kuona matangazo ya ajira. Hilo jina Jamii forum lilinikaa kichwani mpaka nilipoenda chuo nikawa na access ya internet ndo nikaanza kuitumia JF

senty from my Iphone 7 using jamii forum app
Hivi marekani karo ya chuo tsh ngapi? Na mshahara bongo tsh ngapi?
 
Nilijiunga ili niache kupiga Punyeto iliyotukuka na niliujua kutoka kwa wapenda kupiga Punyeto waliotukuka ambao wapo humu Kitambo kidogo.
 
Yupo MTU mmoja ni rafiki yangu sana wakaribu alinihamasisha kuja humu tens akaniambia niweke I'd ya uongo sasa mpka Leo mm sijui I'd yake na nadhani pia yangu haijui kuna siku nitamtunishia mbavu nakumwambia yeye ni mtoto kwangu kumbe yeye ndo kanigungulia pazia nikaona huku.
 
Nilikuwa nikiingia google kutafuta mambo yangu nakutana na link ya JF,sikuwahi kufungua account japo nilikuwa nikisoma habari mbalimbali kupitia jf.Baada ya miaka kadha nilimsikia kiongozi mmoja akilalamika kuwa watu wamekuwa wakimtukana kupitia mitandao mbalimbali ikiwemo jamii forum.Nilitamani kuacha kuwa nasoma habari bila kuchangia nikajaribu kufungua account bila app then nikasahau password but nilivyokuja kupata smartphone ya kueleweka nilijiunga rasmi.Sijawahi kujutia kuwa mwana JF.I love all the members japo sometimes tunapeana changamoto mbalimbali.Mungu ibariki JamiiForums,Tanzania,Africa na Dunia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ha ha mkuu kwenye simu wewe ni kama Mimi dah nilikuwa natumia Nokia express music! Kipindi hiko majina ya JF yalikuwa yakunitesa haswa kuyakariri kumchwa.
Watu maarufu ni Rejao sijui yuko wapi siku hizi, Mingoi sijui ni mwamke? Alikuwa akikwaruzana na makamanda wakawa wanamwiita wewe mama mingoi nenda katumbuize twang a pepeta.

The Boss yupo mpaka Leo! Maalim @kanah bingwa wa kutukana Christian.
2013 .
@khaatan
Katavi
@nguruv3 makamanda ulingo wa siasa kutoka Arusha Arushaone Mungi Mungu akupe maisha mareeefu!! Wengine majina ya menitoka since 2012

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app

Candid yupo wapi?
 
Kwi kwi kwi kwi lol!

CC: mshana jr

Dah Nimeanza Kusoma Nyuzi Tangu 2010 Ila Sasa Vinokia Nlivokua Natumia Kipindi Icho Hata Nlikua Sielew KuRegister Na Nlikua Siwez. Bas Nkipata Access Ya Internet Nasearch Jamiiforums. Nkawa Nakumbuka Na Kusahau Nakumbuka Nasahau. Mpaka 2011 Nlipoamua Kufuatilia Seriously. Ila Kusema Ukweli Mwanzoni Nilidhani Watu Walio JF Ni Wakenya Au Watanzania Waliopo Nje Ya Nchi,Au Wasomi Sanaaaaaa!!!
Nlikua Nawaogopa Sana Yani!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu walinivutia sana mpaka nikaamua kujiunga rasmi.

Mzizi Mkavu
Kongosho
Bujibuji
Katavi
Mamdenyi
Madame b
Nyani Ngabu
Ila kongosho sijui kapotelea wapi?
 
Niliijua jf 2010 kipindi nipo o'level kupitia google,ilikua kila nikisearch habari nyingi za Tz zinakuja link za Jf. Mwaka 2011 nikajiunga rasmi
 
Dah Nimeanza Kusoma Nyuzi Tangu 2010 Ila Sasa Vinokia Nlivokua Natumia Kipindi Icho Hata Nlikua Sielew KuRegister Na Nlikua Siwez. Bas Nkipata Access Ya Internet Nasearch Jamiiforums. Nkawa Nakumbuka Na Kusahau Nakumbuka Nasahau. Mpaka 2011 Nlipoamua Kufuatilia Seriously. Ila Kusema Ukweli Mwanzoni Nilidhani Watu Walio JF Ni Wakenya Au Watanzania Waliopo Nje Ya Nchi,Au Wasomi Sanaaaaaa!!!
Nlikua Nawaogopa Sana Yani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahah mkuu wewe kama mimi niliijua 2013 kama sikosei ila nilijiunga rasmi 2016 ila kwa sasa jf sio kama mwanzo navyonyapianyapia sijui nimeizoea au imepoteza mvuto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom