matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Umempata?Kutafuta mume.
du!!Umempata?
Ndio.Umempata?
Nilikuja kutafuta mchumba
ndoa tayari au bado hatujala ubwabwaNilikuja kutafuta mchumba
mkuu unatafuta waume za watu au wachumbaKutafuta mume.
Kwa nini unadhani nataniaHahaha najua unatania tu
mimi
Mara ya Kwanza , Kutafuta kazi.
Mara ya Pili Kujua mambo ya kitaifa na baada ya kugundua siri ya dogo mmoja anayejua kila kitu anatolea madini yake jf.
Mara ya Tatu kutafuta biashara
Sasa Kuburudika
Nimesema natafuta mchumba sio mumendoa tayari au bado hatujala ubwabwa
Umefanikiwa kuvunja?Nilijiunga jf kuongeza elimu mbalimbali kwasababu jf ni kisiwa cha elimu. Pia kutoa kidogo nilicho jaaliwa na Mungu.
Pia nilijiunga ili kusikia hoja za wapinga Mungu (Atheists) na kuvunja hoja zao batili.
mkuu mpe/wape hi au bado hujajitwalia griti thinka mmoja humuNimesema natafuta mchumba sio mume
umenikombusha soti moja inaitwa ''mkuchu''.Kuruka tiktaka,samasot
Aisee ubarikiwe.Nilijiunga jf kuongeza elimu mbalimbali kwasababu jf ni kisiwa cha elimu. Pia kutoa kidogo nilicho jaaliwa na Mungu.
Pia nilijiunga ili kusikia hoja za wapinga Mungu (Atheists) na kuvunja hoja zao batili.
Umefanikiwa kuvunja?
kale kajamaa kanaupdate za kimbea balaa.Umbea wa warumi.