Kwanini ulijiunga JF?

Kwanini ulijiunga JF?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
mimi
Mara ya Kwanza , Kutafuta kazi.
Mara ya Pili Kujua mambo ya kitaifa na baada ya kugundua siri ya dogo mmoja anayejua kila kitu anatolea madini yake jf.
Mara ya Tatu kutafuta biashara
Sasa Kuburudika
 
Nilijiunga jf kuongeza elimu mbalimbali kwasababu jf ni kisiwa cha elimu. Pia kutoa kidogo nilicho jaaliwa na Mungu.

Pia nilijiunga ili kusikia hoja za wapinga Mungu (Atheists) na kuvunja hoja zao batili.
 
Umefanikiwa kuvunja?
 
Aisee ubarikiwe.
Ni habari njema angalau tukiwa na member magreat thinka wenye roho wa Mungu vinginevyo JF inaweza kugeuka danguro
 
Back
Top Bottom