Kwanini ulijiunga JF?

Aisee unanibananisha kwenye Kona mno!!!

Sijui niiwekeje ila mimi naona upo smart kiasi cha kwamba sifikirii kama unaweza Fanya hivyo...

Kweli humu wachumba wanapatikana ila I can bet huwezi fanya hvyo..

BTW. ..Sipingi hilo jambo hata wanaofanya hvyo wana sababu zao pia ila wewe huoneshi kuingia kwenye sifa hzo

Kwani wanaotafuta wachumba wana haiba gani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] inaonesha wengine hizi keyboard zinatubeba sana, thanks anyway
 
Don't underestimate urself...U are not the so called "Mlugaluga"

Yes U proved to me u are worth it!!!.!!??Do I need to add another compliments! ??..

U can't judge urself...achia sisi kazi hyo[emoji120][emoji120]

Yes. It seems you think so highly of me wakati mie mlugaluga tu
 
Don't underestimate urself...U are not the so called "Mlugaluga"

Yes U proved to me u are worth it!!!.!!??Do I need to add another compliments! ??..

U can't judge urself...achia sisi kazi hyo[emoji120][emoji120]
Ooh ahsante [emoji23][emoji23][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…