Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Karma.. Na uzuri wa mkakasi ni nje tuu ukishajua ndani ni kipande cha mtu unaudharauMwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2015 jina la Januari Makamba lilikuwa na mvuto mkubwa kwenye umma hasa mitandaoni na hata wengi tuliamini anafaa kwa nafasi ya Urais kama ambavyo aliingia kwenye mchakato na kufanikiwa kuingia Tano bora.
Nini kimesababisha umaarufu wa Januari Makamba kuporomoka kiasi hicho, nini kilimpandisha na nini kinamshusha sasa.