Karma.. Na uzuri wa mkakasi ni nje tuu ukishajua ndani ni kipande cha mtu unaudharauMwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2015 jina la Januari Makamba lilikuwa na mvuto mkubwa kwenye umma hasa mitandaoni na hata wengi tuliamini anafaa kwa nafasi ya Urais kama ambavyo aliingia kwenye mchakato na kufanikiwa kuingia Tano bora.
Nini kimesababisha umaarufu wa Januari Makamba kuporomoka kiasi hicho, nini kilimpandisha na nini kinamshusha sasa.
Labda ww ndo uushushe!!Mwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2015 jina la Januari Makamba lilikuwa na mvuto mkubwa kwenye umma hasa mitandaoni na hata wengi tuliamini anafaa kwa nafasi ya Urais kama ambavyo aliingia kwenye mchakato na kufanikiwa kuingia Tano bora.
Nini kimesababisha umaarufu wa Januari Makamba kuporomoka kiasi hicho, nini kilimpandisha na nini kinamshusha sasa.
Dua la kuku hilo!!Wote waliomtukana Magufuli laana inawatafuna kimyakimya
Amekosea pakubwaMwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2015 jina la Januari Makamba lilikuwa na mvuto mkubwa kwenye umma hasa mitandaoni na hata wengi tuliamini anafaa kwa nafasi ya Urais kama ambavyo aliingia kwenye mchakato na kufanikiwa kuingia Tano bora.
Nini kimesababisha umaarufu wa Januari Makamba kuporomoka kiasi hicho, nini kilimpandisha na nini kinamshusha sasa.
Bado yupo juu sana......Sijui umepima na nini.Mwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2015 jina la Januari Makamba lilikuwa na mvuto mkubwa kwenye umma hasa mitandaoni na hata wengi tuliamini anafaa kwa nafasi ya Urais kama ambavyo aliingia kwenye mchakato na kufanikiwa kuingia Tano bora.
Nini kimesababisha umaarufu wa Januari Makamba kuporomoka kiasi hicho, nini kilimpandisha na nini kinamshusha sasa.
Hapa watu hawajadili suala la yeye kufukuzwa, wanajadili mambo ya nchi yeye ni Kiongozi mwenye dhamana kubwa kwenye nchi ambaye tulimtumainia sana kulisaidia sana taifa kutokana na uzoefu wake ndani ya Chama na Serikali hasa baada ya kuwa Ikulu kama Msaidizi wa Rais Kikwete kwa miaka 5. Pili suala la yeye kufukuzwa halipo na alituthibitishia yeye mwenyewe kwa kauli yake kwamba labda twende tukamuue.Ww jamaa January amekukosea nn? Msamehe Tu
We jamaa na January mnagombania mwanamke au ni nn?
Topic zako nyingi ni January Tu duh, unataka afukuzwe au unatakaje, na je akifukuzwa ww unapata faida gani?
Ni wivu tu
Hapa watu hawajadili suala la yeye kufukuzwa, wanajadili mambo ya nchi yeye ni Kiongozi mwenye dhamana kubwa kwenye nchi ambaye tulimtumainia sana kulisaidia sana taifa kutokana na uzoefu wake ndani ya Chama na Serikali hasa baada ya kuwa Ikulu kama Msaidizi wa Rais Kikwete kwa miaka 5. Pili suala la yeye kufukuzwa halipo na alituthibitishia yeye mwenyewe kwa kauli yake kwamba labda twende tukamuue.
Kikwete mzee wa watu hata kama anamapungufu yake lakini huku tunamsingizia tu kumbuka yeye akiwa RAIS wa JMT hajawahi kumpa uwaziri aliishia kumpa unaibu tu tena kwa miaka 3 ya mwisho kati ya Miaka yake 10 ya utawala wake , inamaana alijua uwezo wake kwamba anatakiwa awe juu ya mtu wa kumsimamia. tusimsingizie mzee wa watu JK.Kivuli cha magufuli kimemdhoofisha.
Wananchi kwa sasa wametambua ladha ya kiongozi anayewafaa.
Halafu pili hana nguvu yoyote ya kisiasa zaidi ya kutegemea hao mababa zake majizi akina Kikwete.
Makamba hana mvuto tenaKivuli cha magufuli kimemdhoofisha.
Wananchi kwa sasa wametambua ladha ya kiongozi anayewafaa.
Halafu pili hana nguvu yoyote ya kisiasa zaidi ya kutegemea hao mababa zake majizi akina Kikwete.
Hivi ameupuzia kivipi? Mradi ulicheleweshwa kuanza kwa miezi 8 Bado mkandarasi hakuwa ma wataalam wa kutosha , hayo yamesemwa nakamati ya bunge ya miundombinu , je hapo kosa la makatani silioni.Kosa lake kubwa na hatari ni kupuuzia mradi wa bwawa la Umeme, ule mradi watanzania waliweka Imani kubwa Sana juu ya maendelea ya nchi.
Makamba eti yuko na kigogo 2014 hopeless kabisaKwa hiyo ndicho kipimo ambacho umetumia hicho? Tanzania wengi hawamo kwenye mitandao ya kijamii. Mcheki Makamba kupitia field, mapokezi na metrics kutoka ground kabisa. Haya mambo ya mitandaoni mostly ni organized movements tu. Usichukuliwe sana na hayo mambo.
January ni akili kubwa wasiompenda wanamchafuaMwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2015 jina la Januari Makamba lilikuwa na mvuto mkubwa kwenye umma hasa mitandaoni na hata wengi tuliamini anafaa kwa nafasi ya Urais kama ambavyo aliingia kwenye mchakato na kufanikiwa kuingia Tano bora.
Nini kimesababisha umaarufu wa Januari Makamba kuporomoka kiasi hicho, nini kilimpandisha na nini kinamshusha sasa.
awali mvuto wake ulikuwa katika maeneo yepiMakamba hana mvuto tena
Mpgie cmawali mvuto wake ulikuwa katika maeneo yepi
He was overrated. Muda huu watu wanacha story za kusikia wanajionea wenyeweMwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2015 jina la Januari Makamba lilikuwa na mvuto mkubwa kwenye umma hasa mitandaoni na hata wengi tuliamini anafaa kwa nafasi ya Urais kama ambavyo aliingia kwenye mchakato na kufanikiwa kuingia Tano bora.
Nini kimesababisha umaarufu wa Januari Makamba kuporomoka kiasi hicho, nini kilimpandisha na nini kinamshusha sasa.