Kwanini umenifanyia hivi Ritha?

Kwanini umenifanyia hivi Ritha?

Rita wa Marlow kumbe hakufa kwenye bus kama ilivyosemekana daah analipiza kisasi kwa Mzee wa Bembeleza... Lakini WHY WHY WHY
 
Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.

Nimepush mtaji na Kila nilichokuwa nacho kwangu nikamnunulia na yeye pia, tv, home theater na vitu vyote vya kijanja nikatia chumbani kwake.

Nimepata safari ya kwenda Katoro, na yeye akapata safari ya kuhama bira taarifa. Huwa nikisafiri namuachia funguo namuamini, kumbe ana mawazo yake yakunikomesha bila Sababu.

Narudi sebule inanizomea chumbani pesa hakuna laki 460 nampigia anasema ameenda kufanya maisha yake na kubuni biashara itakayo mlipa zaidi(Yani utafikili Ile ya mwanzo mie ndio nilimshauli)

Honey mama Malaika mbona umenipa adhabu kubwa hivi? Nilikukosea Nini? Basi c Bora ungechukua pesa tu ukaniachia vitu vyangu? Au makosa ya mzazi mwenzio umeyaamishia kwangu?

Na siku nasafiri nikakuachia laki 4 hivi uoni Nia yangu ya ukweli juu yako? Nilikukosea Nini we mdada? Najitaidi nilie Ila machozi huwa hayanitoki umenifundisha kisasi nitakulipa tu.

Natamani kumuachia MUNGU Ila ndugu na marafiki zako wanajiuliza hii tabia yakuumiza wanaume wako utaacha lini? Jibu limepatikana utaacha awamu hii...mama maraika sikuachi...
Tatizo lenu hua hamuangaliagi Malaya na mke
 
Hauwezi kutumia material things kumuonesha mtu nia yako..unatakiwa u express nia yako kwa maneno sio kwa vitu mkuu hapo ndo ulipofeli
Nimeambulia kitu kwenye hii comment yako.shukrani sana
 
Wanaume wema , HUONGOZA KWA KUUMIZWA.
Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.

Nimepush mtaji na Kila nilichokuwa nacho kwangu nikamnunulia na yeye pia, tv, home theater na vitu vyote vya kijanja nikatia chumbani kwake.

Nimepata safari ya kwenda Katoro, na yeye akapata safari ya kuhama bira taarifa. Huwa nikisafiri namuachia funguo namuamini, kumbe ana mawazo yake yakunikomesha bila Sababu.

Narudi sebule inanizomea chumbani pesa hakuna laki 460 nampigia anasema ameenda kufanya maisha yake na kubuni biashara itakayo mlipa zaidi(Yani utafikili Ile ya mwanzo mie ndio nilimshauli)

Honey mama Malaika mbona umenipa adhabu kubwa hivi? Nilikukosea Nini? Basi c Bora ungechukua pesa tu ukaniachia vitu vyangu? Au makosa ya mzazi mwenzio umeyaamishia kwangu?

Na siku nasafiri nikakuachia laki 4 hivi uoni Nia yangu ya ukweli juu yako? Nilikukosea Nini we mdada? Najitaidi nilie Ila machozi huwa hayanitoki umenifundisha kisasi nitakulipa tu.

Natamani kumuachia MUNGU Ila ndugu na marafiki zako wanajiuliza hii tabia yakuumiza wanaume wako utaacha lini? Jibu limepatikana utaacha awamu hii...mama maraika sikuachi...
Kwa sababu, wanapenda Sanaa na wanaamini sanaaaaaa !!🤣

Mkinielewa maandiko YANGU humu JF, Kwa namna Moja yatawasaidia.

Kwa Sasa Wacha muumizwe.
 
Wanaume wema , HUONGOZA KWA KUUMIZWA.

Kwa sababu, wanapenda Sanaa na wanaamini sanaaaaaa !!🤣

Mkinielewa maandiko YANGU humu JF, Kwa namba Moja yatawasaidia.

Kwa Sasa Wacha muumizwe.
Jana nimepitia andiko lako na nikakupm Ila umefunga inbox yako.
Ki ukweli nilichelewa Sana kuona lile bandiko.
 
Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.

Nimepush mtaji na Kila nilichokuwa nacho kwangu nikamnunulia na yeye pia, tv, home theater na vitu vyote vya kijanja nikatia chumbani kwake.

Nimepata safari ya kwenda Katoro, na yeye akapata safari ya kuhama bira taarifa. Huwa nikisafiri namuachia funguo namuamini, kumbe ana mawazo yake yakunikomesha bila Sababu.

Narudi sebule inanizomea chumbani pesa hakuna laki 460 nampigia anasema ameenda kufanya maisha yake na kubuni biashara itakayo mlipa zaidi(Yani utafikili Ile ya mwanzo mie ndio nilimshauli)

Honey mama Malaika mbona umenipa adhabu kubwa hivi? Nilikukosea Nini? Basi c Bora ungechukua pesa tu ukaniachia vitu vyangu? Au makosa ya mzazi mwenzio umeyaamishia kwangu?

Na siku nasafiri nikakuachia laki 4 hivi uoni Nia yangu ya ukweli juu yako? Nilikukosea Nini we mdada? Najitaidi nilie Ila machozi huwa hayanitoki umenifundisha kisasi nitakulipa tu.

Natamani kumuachia MUNGU Ila ndugu na marafiki zako wanajiuliza hii tabia yakuumiza wanaume wako utaacha lini? Jibu limepatikana utaacha awamu hii...mama maraika sikuachi...
We ulisikia msukuma na mapenzi wapi na wpi ... yani kabisa uende katoro demu akusubiri 😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣 Eeeh kaka sio wote,na yeye nilidhania kwa Nia atakuwa wanngu wa kufa na kuzikana kkumbe mwizi
 
Back
Top Bottom