Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Hauwezi kutumia material things kumuonesha mtu nia yako..unatakiwa u express nia yako kwa maneno sio kwa vitu mkuu hapo ndo ulipofeliHapana ilikuwa ni wajibu kumuoesha Nina Nia nae ya dhati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauwezi kutumia material things kumuonesha mtu nia yako..unatakiwa u express nia yako kwa maneno sio kwa vitu mkuu hapo ndo ulipofeliHapana ilikuwa ni wajibu kumuoesha Nina Nia nae ya dhati
Okay mkuuKaka Kuna kipindi inatakiwa uwalipie wale wasioweza kulipa
KabisaAtajuta baadae
Nimecheka sana eti "is satan women's uncle?Bora nibaki kuyasikia View attachment 2311564
Is that avatar your real pic?Sasa kwanini ulimfanyia hayo yote ili akupende?
Tatizo lenu hua hamuangaliagi Malaya na mkeBaada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.
Nimepush mtaji na Kila nilichokuwa nacho kwangu nikamnunulia na yeye pia, tv, home theater na vitu vyote vya kijanja nikatia chumbani kwake.
Nimepata safari ya kwenda Katoro, na yeye akapata safari ya kuhama bira taarifa. Huwa nikisafiri namuachia funguo namuamini, kumbe ana mawazo yake yakunikomesha bila Sababu.
Narudi sebule inanizomea chumbani pesa hakuna laki 460 nampigia anasema ameenda kufanya maisha yake na kubuni biashara itakayo mlipa zaidi(Yani utafikili Ile ya mwanzo mie ndio nilimshauli)
Honey mama Malaika mbona umenipa adhabu kubwa hivi? Nilikukosea Nini? Basi c Bora ungechukua pesa tu ukaniachia vitu vyangu? Au makosa ya mzazi mwenzio umeyaamishia kwangu?
Na siku nasafiri nikakuachia laki 4 hivi uoni Nia yangu ya ukweli juu yako? Nilikukosea Nini we mdada? Najitaidi nilie Ila machozi huwa hayanitoki umenifundisha kisasi nitakulipa tu.
Natamani kumuachia MUNGU Ila ndugu na marafiki zako wanajiuliza hii tabia yakuumiza wanaume wako utaacha lini? Jibu limepatikana utaacha awamu hii...mama maraika sikuachi...
Angalia tusije tukakupoteza. Kwa wanawake wa chugga hilo ni tukio dogo kuwa jasiri pesa znatafutwa ila sio roho.Bado sijajua Ila nahisi chochote tu kitaka chonipa amani
Bojo umuriloCha mtu uliwa na mtu na chuma huliwa na kutu
Hizo ni conspiracies tu, usiwe mshamba hivyoBora nibaki kuyasikia View attachment 2311564
Na hii ni mitandao tu usichukulie vitu serious ivo usiwe mshamba bro
Kwa sababu, wanapenda Sanaa na wanaamini sanaaaaaa !!🤣Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.
Nimepush mtaji na Kila nilichokuwa nacho kwangu nikamnunulia na yeye pia, tv, home theater na vitu vyote vya kijanja nikatia chumbani kwake.
Nimepata safari ya kwenda Katoro, na yeye akapata safari ya kuhama bira taarifa. Huwa nikisafiri namuachia funguo namuamini, kumbe ana mawazo yake yakunikomesha bila Sababu.
Narudi sebule inanizomea chumbani pesa hakuna laki 460 nampigia anasema ameenda kufanya maisha yake na kubuni biashara itakayo mlipa zaidi(Yani utafikili Ile ya mwanzo mie ndio nilimshauli)
Honey mama Malaika mbona umenipa adhabu kubwa hivi? Nilikukosea Nini? Basi c Bora ungechukua pesa tu ukaniachia vitu vyangu? Au makosa ya mzazi mwenzio umeyaamishia kwangu?
Na siku nasafiri nikakuachia laki 4 hivi uoni Nia yangu ya ukweli juu yako? Nilikukosea Nini we mdada? Najitaidi nilie Ila machozi huwa hayanitoki umenifundisha kisasi nitakulipa tu.
Natamani kumuachia MUNGU Ila ndugu na marafiki zako wanajiuliza hii tabia yakuumiza wanaume wako utaacha lini? Jibu limepatikana utaacha awamu hii...mama maraika sikuachi...
Jana nimepitia andiko lako na nikakupm Ila umefunga inbox yako.Wanaume wema , HUONGOZA KWA KUUMIZWA.
Kwa sababu, wanapenda Sanaa na wanaamini sanaaaaaa !!🤣
Mkinielewa maandiko YANGU humu JF, Kwa namba Moja yatawasaidia.
Kwa Sasa Wacha muumizwe.
Mkuu PM yangu imefungwa ?? Daah nitakufanyia kaziJana nimepitia andiko lako na nikakupm Ila umefunga inbox yako.
Ki ukweli nilichelewa Sana kuona like bandiko.
We ulisikia msukuma na mapenzi wapi na wpi ... yani kabisa uende katoro demu akusubiri 😂😂😂Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.