Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nchi kubwa kubwa kama Marekani, Uingereza na Ufaransa hupigia sana kelele na kuhubiri uzuri wa demokrasia, na hasa wakishinikiza nchi changa zifuate demokrasia.
Lakini watu hao hao hawataki taasisi kubwa zaidi duniani, Umoja wa mataifa iendeshwe kidemokrasia. Nchi hizo pamoja na Russia na China zina kura ya veto ndani ya Umoja wa Mataifa. Zinaweza kubatilisha uamuzi hata ambao umekubaliwa na wanachama wote wa UN duniani.
Kusema demokrasia ni nzuri ni ulaghai wa karne? Labda mi ndiyo sielewi, kwa nini Umoja wa Mataifa hauendeshwi kidemokrasia?