Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Sio lazima taifa liwe katika umoja wa mataifa, ukiona haukidhi mahitaji yako unaweza kujitoa. Hulazimishwi.Nchi kubwa kubwa kama Marekani, Uingereza na Ufaransa hupigia sana kelele na kuhubiri uzuri wa demokrasia, na hasa wakishinikiza nchi changa zifuate demokrasia.
Lakini watu hao hao hawataki taasisi kubwa zaidi duniani, Umoja wa mataifa iendeshwe kidemokrasia. Nchi hizo pamoja na Russia na China zina kura ya veto ndani ya Umoja wa Mataifa. Zinaweza kubatilisha uamuzi hata ambao umekubaliwa na wanachama wote wa UN duniani.
Kusema demokrasia ni nzuri ni ulaghai wa karne? Labda mi ndiyo sielewi, kwa nini Umoja wa Mataifa hauendeshwi kidemokrasia?
Umoja wa Mataifa ni alliance yenye kila aina washiriki kuanzia madikteta na watawala wa maisha wa Afrika na Uarabuni (japo wamepungua siku hizi), wafalme wenye kila aina ya tabia na vituko kuanzia akina Mswati III, Hassanal Bolkiah ibni Omar Ali Saifuddien III, etc.Nchi kubwa kubwa kama Marekani, Uingereza na Ufaransa hupigia sana kelele na kuhubiri uzuri wa demokrasia, na hasa wakishinikiza nchi changa zifuate demokrasia.
Lakini watu hao hao hawataki taasisi kubwa zaidi duniani, Umoja wa mataifa iendeshwe kidemokrasia. Nchi hizo pamoja na Russia na China zina kura ya veto ndani ya Umoja wa Mataifa. Zinaweza kubatilisha uamuzi hata ambao umekubaliwa na wanachama wote wa UN duniani.
Kusema demokrasia ni nzuri ni ulaghai wa karne? Labda mi ndiyo sielewi, kwa nini Umoja wa Mataifa hauendeshwi kidemokrasia?
Magharibi wakisema wakuoe sioni ukichomoa maana unawapenda mabwana zakoUmoja wa Mataifa ni alliance yenye kila aina washiriki kuanzia madikteta na watawala wa maisha wa Afrika na Uarabuni (japo wamepungua siku hizi), wafalme wenye kila aina ya tabia na vituko kuanzia akina Mswati III, Hassanal Bolkiah ibni Omar Ali Saifuddien III, etc.
Mdikteta wa kudumu wengine wakibadilishana tawala za nchi zao kina Vladimir Putin, Xi Jinping, Hugo Chavez, enzi za akina Fidel Catrol, familia ya Kim, etc. Tawala za kidemokrasia za Ulaya na Marekani ya Kaskazini, etc.
Katika mazingira ya aina hiyo UN inaweza vipi kuendeshwa kidemokrasia? Mbona EU yenye nchi 27 inaendesha mambo yake kidemokrasia? Hope umeelewa kama kweli ulikuwa huelewi!
Marekani inatoa Hela ya kuendesha Umoja wa Mataifa pamoja na juimuiya zake kwa zaidi ya asilimia hamsini. Mbona hapo hulalamiki kuwa wanachangia pakubwa? Halafu ujue ya kwamba, Dunia inatawaliwa na equity and not equality!Nchi kubwa kubwa kama Marekani, Uingereza na Ufaransa hupigia sana kelele na kuhubiri uzuri wa demokrasia, na hasa wakishinikiza nchi changa zifuate demokrasia.
Lakini watu hao hao hawataki taasisi kubwa zaidi duniani, Umoja wa mataifa iendeshwe kidemokrasia. Nchi hizo pamoja na Russia na China zina kura ya veto ndani ya Umoja wa Mataifa. Zinaweza kubatilisha uamuzi hata ambao umekubaliwa na wanachama wote wa UN duniani.
Kusema demokrasia ni nzuri ni ulaghai wa karne? Labda mi ndiyo sielewi, kwa nini Umoja wa Mataifa hauendeshwi kidemokrasia?
Yeye ndio mnufaika mkubwa wa iyo UN ndio mahana watu wamemuachia yeye lakini siyo kama nchi nyingine zinashindwa kuchangia zaidi yakeMarekani inatoa Hela ya kuendesha Umoja wa Mataifa pamoja na juimuiya zake kwa zaidi ya asilimia hamsini. Mbona hapo hulalamiki kuwa wanachangia pakubwa? Halafu ujue ya kwamba, Dunia inatawaliwa na equity and not equality!
Ahahahahaha! Nchi gani kwa mfano inaweza kuchangia sawa na Marekani? Burundi? Ahahahahaha!!!Yeye ndio mnufaika mkubwa wa iyo UN ndio mahana watu wamemuachia yeye lakini siyo kama nchi nyingine zinashindwa kuchangia zaidi yake
Mimi naongelea kwa level za nchi zilizoendeleaAhahahahaha! Nchi gani kwa mfano inaweza kuchangia sawa na Marekani? Burundi? Ahahahahaha!!!
Sidhani kama unaelewa equity na equality ni vitu gani?Marekani inatoa Hela ya kuendesha Umoja wa Mataifa pamoja na juimuiya zake kwa zaidi ya asilimia hamsini. Mbona hapo hulalamiki kuwa wanachangia pakubwa? Halafu ujue ya kwamba, Dunia inatawaliwa na equity and not equality!
Nchi kuendeshwa na madikteta kunazuia vipi UN kuendeshwa kidemokrasia? Na hasa inaonekana nchi nyingi zenye veto ni za kidemokrasia. Kwa hiyo kikwazo cha kuwa na demokrasia UN ni nchi za kidemokrasia na si hizo unazoita za kidikteta.Umoja wa Mataifa ni alliance yenye kila aina washiriki kuanzia madikteta na watawala wa maisha wa Afrika na Uarabuni (japo wamepungua siku hizi), wafalme wenye kila aina ya tabia na vituko kuanzia akina Mswati III, Hassanal Bolkiah ibni Omar Ali Saifuddien III, etc.
Mdikteta wa kudumu wengine wakibadilishana tawala za nchi zao kina Vladimir Putin, Xi Jinping, Hugo Chavez, enzi za akina Fidel Catrol, familia ya Kim, etc. Tawala za kidemokrasia za Ulaya na Marekani ya Kaskazini, etc.
Katika mazingira ya aina hiyo UN inaweza vipi kuendeshwa kidemokrasia? Mbona EU yenye nchi 27 inaendesha mambo yake kidemokrasia? Hope umeelewa kama kweli ulikuwa huelewi!
Veto power ni sehemu ya demokrasiaNchi kuendeshwa na madikteta kunazuia vipi UN kuendeshwa kidemokrasia? Na hasa inaonekana nchi nyingi zenye veto ni za kidemokrasia. Kwa hiyo kikwazo cha kuwa na demokrasia UN ni nchi za kidemokrasia na si hizo unazoita za kidikteta.
Hapo sijajua unaongelea nini.Mimi naongelea kwa level za nchi zilizoendelea
Sijui halafu nikaviandika? Ahahahahaha!!Sidhani kama unaelewa equity na equality ni vitu gani?