Kwanini Unaamini Mungu yupo?

Jibu hayo maswali ya mleta mada, acha kukimbia kimbiaa.
 
Huwez jibiwa hayo maswali na wafia dini zaidi ya kukuogopesha utapata laana
 
Kwa matendo yake makuu hadi sasa nipo na pumzi maana binadam ndicho kilichotushinda kumwekea binadam wa kutengeneza pumzi ambayo ndio uhai tulio nao la sivyo kuna watu wangekuwapo dunia hii hadi leo

Post sent using JamiiForums mobile app
usipo kuwa na pumzi ndo hayupo?
Wanao kufa nao vp?
 
Una ushahidi wa uandikacho?
 
Wana komaa kuuliza chanzo cha dunia na viumbe vyote, lkn hawajiulizi chanzo cha mungu.
Wanakuambia mungu hana chanzo alikuwepo tangu enzi? Jibu jepesi kwa swali gumu
 
Mungu yupo kwasababu hata shetani yupo angalia maovu na unyama unaofanyika kutokana na nguvu za giza then nguvu ya nuru ipo action and reaction are opposite but equal to each other
Nguvu za giza ndio zipi?
thibitisha uwepo wa shetan na mungu
acha porojo
 
Kama sayansi haiwezi basi imani ndio kabisaaaa....haiwezi hata kumsaidia mtu anaeumwa jino.
 
Thibitisha mungu yupo!!
Acha ujinga
 
Sababu kuna mambo yametokea kwenye maisha yangu... kwa uwezo wa kawaida isingewezekana , ilitokea tu ajab yakawezekana.
mambo gani una amini kwa uwezo wa kawaida yazingewezekana?
Uwezo gani huo wa miujiza ambao yametibu matatizo yako?
 
Nafikir ungejibu maswali yake moja baada ya lingine.

Post sent using JamiiForums mobile app
Unaweza hata wewe kumsaidia kujibu maswali yangu.

Au hayajibiki? Ukiona hayajibiki basi umeshapata jibu.

Vipi wewe unaejidai tumbo lako, kinyeo chako lakini unashindwa kuzuwia mavi yasitoke ili usiende kushika mavi yako kwa makaratasi.

Au huna uwezo huo? Kama hauna, anao nani?
 
Ukitaka kujua kwamba mungu yupo jitathmini mwenyewe je upo duniani na chake nini? Basi ukipata jibu hicho chanzo cha wewe kuwepo duniani ndio mungu wako
 
Mungu yupo kwasababu hata shetani yupo angalia maovu na unyama unaofanyika kutokana na nguvu za giza then nguvu ya nuru ipo action and reaction are opposite but equal to each other
Usingekaa darasani kusoma sayansi... ungetoa wapi hayo ya actions and reactions?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Usingekaa darasani kusoma sayansi... ungetoa wapi hayo ya actions and reactions?

Post sent using JamiiForums mobile app

Sasa boss si ndio maana Mungu akaturuhusu tusome ili akili zifunguke na tuzidi kumfahamu kwani ina maana mtu kama unaamni Mungu yupo ndio hutakiwi kusoma boss?
 
Mbona unawaza kinyeo tu.... cha kwako kinatumiwa ndivyo sivyo ni nin??....

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…