Tatizo ni hilo hilo la indoctrination, katika kukua kwako umekuwa ukiambiwa hivyo, umeshalishwa kasumba na huwezi kufikiri zaidi ya hapo. Ulishawahi kujiuliza kwa nini maembe huwa yanakuja chini na hayaendi juu yanapotoka kwenye kikonyo chakeSababu kuna mambo yametokea kwenye maisha yangu... kwa uwezo wa kawaida isingewezekana , ilitokea tu ajab yakawezekana.
Kwanini tusimshitaki hata kwa sheria zetu za kiutawala!!,kama kwa dini kuna mkanganyiko???Kiongozi,haingii akilini binadamu afurahie kula nyama ya mbuzi au ng'ombe ambaye anakula kama yeye,anafanya mapenzi kama yeye,anazaa watoto kama yeye halafu anajifariji eti hivi vitu tulipewa na Mungu,uongo mkubwa,halafu Simba akimla binadamu,binadamu huyohuyo,hasemi kama simba ana zambi....
Unajua haipendezi kuandika mambo kwa hisia tu.Mimi nakuhakikishia Mungu hayupo,nimesoma revolution za imani zote,nikagundua ni ujanja ujanja tu,watu kama Papa wa Vatican Wanajua kabisa Mungu hayupo.na Vatican siri za imani zote ziko pale,ndomana kuna maktaba pale hazifunguliwi zinahusu mambo ya dini ya zamani.
Soma vitabu utapata hizo taarifa ndugu....Unajua haipendezi kuandika mambo kwa hisia tu.
Uliisha wahi kufika hiyo milango isiyofunguliwa?ulijuaje kama ina historia za dini za zamani wakati hiyo milango haifunguliwi??
Mimi simuogopi Mungu,ndio maana huwa namhoji maswali yangu na anajibu.wewe ndiye unamuogopa unamkwepa unakuja kuulizia jf.Soma vitabu utapata hizo taarifa ndugu....
Tatizo la mtu ni kuogopa vitu ambavyo havijui...usiogope Mungu hayupo,kama unaamini yupo leta ushahidi...
Mimi sijauliza,nimeomba ulete ushahidi tu...Mimi simuogopi Mungu,ndio maana huwa namhoji maswali yangu na anajibu.wewe ndiye unamuogopa unamkwepa unakuja kuulizia jf.
Ushahidi wa picha,maandishi,sauti ya Mungu.Mimi sijauliza,nimeomba ulete ushahidi tu...
Mungu hana,picha,sauti,wala maandishiUshahidi wa picha,maandishi,sauti ya Mungu.
[emoji2] [emoji2] kumbe unataka ushahidi gani??Mungu hana,picha,sauti,wala maandishi
Mjomba,kiufupi dunia ni sayari inazunguka jua,kwahiyo kutokea kwa usiku na mchana ni kwanba wewe unapoishi dunia ama inakua upande wa jua(mchana),au upande usio wa jua (usiku)..Dalili kubwa ya uwepo wa Mungu ni Kuchomoza Jua na Kuzama na kuingia usiku na Mchana nidhamu hii hakuna mwanadamu anaweza kuibadilisha!!!
That is the result of his disobedience mwanzonzi kwa kula the fruit of knowledge of good and evil. He, therefore, lost his place. Haujiulizi kwa nini a human is a wanting being (Maslow hierarchy of needs)? Hata awe na nini he does not get satisfied. Intrinsically, but unknowingly, we are questing for the position that we lost in Eden, that can only be found in Christ for he came to restore humanity to God.No creation made,hayo maandiko hayana ushahidi..
Kama binadamu angeumbwa kutawala asingeliwa na simba
And yet you believe that all of that happened by chance?? All of those excellent arrangements and timing happened by chance? With no intelligent designer? Kwamba kulikua na eruption from nothingness (kama the big bang theory inavyosema) na sayari (including dunia) ni chembe chembe za hiyo nothingness zikajipanga na kuzunguka (rotating and revolving) is by chance, life happened by chance na essence ya maisha ni mawe, meaning babu yako wa kwanza kabisa alikua jiwe.Mjomba,kiufupi dunia ni sayari inazunguka jua,kwahiyo kutokea kwa usiku na mchana ni kwanba wewe unapoishi dunia ama inakua upande wa jua(mchana),au upande usio wa jua (usiku)..
Kwa nyongeza tu,ukitoka nje ya dunia ukiwa angani,hakuna juu wala chini...na pale ndo unaona dunia inavyotembea
Kwaiyo anaye badilisha usiku na mchana ni nani?Mjomba,kiufupi dunia ni sayari inazunguka jua,kwahiyo kutokea kwa usiku na mchana ni kwanba wewe unapoishi dunia ama inakua upande wa jua(mchana),au upande usio wa jua (usiku)..
Kwa nyongeza tu,ukitoka nje ya dunia ukiwa angani,hakuna juu wala chini...na pale ndo unaona dunia inavyotembea