Kwanini Unaamini Mungu yupo?

Binadamu anaweza kumfuga simba, lakini simba hawezi
 
Naamini mungu yupo kwa sababu hakuna ushahidi unaokanusha kwamba Mungu hayupo, kukosekana kwa ushahidi unaopinga uwepo wa mungu, ni ushahidi tosha kwamba Mungu yupo
 
Ukisema walio wengi wanakiri Mungu yupo,unakosea..watu wengi wanaenda makanisani na misikitini na masinagogi tu ila hawajui wanafanya nini...

Lakini pia wingi wa watu usikufanye ukawa kipofu,ndomana kwenye jamii masikini wanakua wengi...na matajiri wanakua wachache,sababu kuu watu wengi hua hawajui ukweli ila wachache tu ndo hua wanajua ukweli na ndomana wanafanikiwa...

Naendelea kukumbusha Mungu hayupo,na wala shetani hayupo.

Kwamana hiyo usifanye ibada yoyote ama ya kimungu au kishetani sababu unapoteza Muda wako.
 
Mungu hayupo

Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
 
Sababu kuna mambo yametokea kwenye maisha yangu... kwa uwezo wa kawaida isingewezekana , ilitokea tu ajab yakawezekana.

Kawaida sipendelei kuongelea imani za watu mpaka wanialike kuongelea.

Na hapa kama public forum, ukiandika umeanialika.

Mambo gani yametokea? Uwezo wa kawaida ni upi na usio wa kawaida ni upi? Unajuaje hilo? Ajabu ni nini? Unajuaje hiyo ni ajabu na si kitu cha kawaida tu ambacho hujakijua vizuri tu?
 
hii wapi imani yako

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu imani ni hakika...na tena ni bayana

Tafuta kamusi kujua maana ya maneno hakika au bayana...
Kamusi si imeandika km ilivyo andikwa biblia?

Kwahiyo unaamini mungu yupo kwa tafsiri ya kamusi?
 
Kamusi si imeandika km ilivyo andikwa biblia?

Kwahiyo unaamini mungu yupo kwa tafsiri ya kamusi?
Now i know...

Tuna aina tofauti ya mitazamo hivyo mjadala hautaisha...

Nakuelekeza kitu kingine wewe watafsiri vingine...
 
dini ni mila tu za kumuabudu mungu..
wengi hurithi imani za walezi na ndizo huzitumia kumuabudu mungu..
kila mmoja hupenda mila zake ndio zifuatwe, wazungu hutoa hela kwa ajili ya hilo, mwarabu hukwambia bila ya kutumia kiarabu mungu hakuelewi na hata salamu ukitumia ya waarabu unapata thawabu...
kkkkkk
Mungu tunaamini yupo kupitia nature ya ulimwengu na miujiza yake..
pia mizimu yenge nguvu ipo..
majini yenye miujiza yapo..
KILA MMOJA YU AVUTIA KWAKE !!
binaadamu wanaomkuwadia mungu kwa kujifanya ni wateule pia wapo.

Sent from my TECNO-H3 using JamiiForums mobile app
Kiufupi mungu ni imani zaidi juu ya nature na sio kitu halisi.
 
Uko sahihi kabisa mkuu General Mangi hizi dini wengi wetu tulikuwa nazo kwasababu tumezaliwa familia zenye kufuata mifumo hiyo ya imani.

Nimeshawahi kujiuliza maswali yote hayo na nikaona haina haja kuendelea kufata dini hizi za kurithi

Ndio sababu mimi ni Antagonist kuhusu Mungu. Na dini yangu ni upendo
 
Kwani matrilion wakiamini uwepo wake ndio inafanya awepo?? Usipende kuwa unafata mkumbo katika maisha
 
Mkuu umefikiri umefika mwisho[emoji23]
Maisha magumu sasa umeamua umfikirie mungu ha ha ha ha
 
Safi mkuu, humanity ni kitu muhimu ili maisha ya wengine yaende vzr.

Mungu ni wewe na shetan ni wewe, ni jinsi utakavyo amua ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…