streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 475
Porojo ndio nini?ushahidi gani unaoutaka, tukupeleke mbinguni tukuoneshe Mungu huyu hapa ndo uamini. Mbona unakua hutumii akili zako vizuri! Ni bora uamini yupo hata usipomkuta hautapata shida, kuliko kuamini hayupo halafu umkute ndo utajua kilio cha kusaga meno kikojeToa ushahidi kwamba Bible ni kitabu cha Mungu........acha porojo mkuu.