stabilityman JF-Expert Member Joined Jul 9, 2024 Posts 857 Reaction score 1,810 Jan 14, 2026 #1 Kwanini unapoongea na mtu humwangalii machoni?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Jan 14, 2026 #2 Umejuaje simwangalii machoni?
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,197 Reaction score 8,667 Jan 14, 2026 #3 Nikiwa na hasira kali nakuchek kwa jicho la paka tiger Ila nikiwa kawaida haina haja kuangaliana labda km ni demu!
Nikiwa na hasira kali nakuchek kwa jicho la paka tiger Ila nikiwa kawaida haina haja kuangaliana labda km ni demu!