min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Jan 14, 2026 #21 The Icebreaker said: Siku hizi imekua simple sana kuanzisha nyuzi JF. Click to expand... Labda kwa sababu ipo jukwaa la jokes, tumwache huenda anatania tu , ila kiukweli wangine walipaswa kuwa wadau wa kuchangia tu ,kuliko kujitutumua kuanzisha mada
The Icebreaker said: Siku hizi imekua simple sana kuanzisha nyuzi JF. Click to expand... Labda kwa sababu ipo jukwaa la jokes, tumwache huenda anatania tu , ila kiukweli wangine walipaswa kuwa wadau wa kuchangia tu ,kuliko kujitutumua kuanzisha mada
msomi uchwara JF-Expert Member Joined Oct 17, 2017 Posts 4,796 Reaction score 9,165 Jan 14, 2026 #22 Kwa sababu wengi wetu tumejawa na ubabaishaji,,hasa sisi watu weusi,, mzungu mnapoongea anakuangalia usoni live bila chenga
Kwa sababu wengi wetu tumejawa na ubabaishaji,,hasa sisi watu weusi,, mzungu mnapoongea anakuangalia usoni live bila chenga